Recent content by lavian

  1. lavian

    Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

    We waga hujielewi flan hv Vijistori vyako ni vya kutungatunga na kutafta kiki
  2. lavian

    Gazeti la Ufaransa lamtaja Magufuli kama kiongozi ambaye Afrika imemsubiri kwa miaka 50

    Kweli mkuu hawa wanasiasa wanatumia ujinga wa watanzania wengi kupata tamaa zao za kimadaraka.na bado wapo wanaodhani uongozi bora ni kuletewa chakula kutwa mara3 na serikali
  3. lavian

    Ujenzi wa barabara ya kupitia juu kuanza Nairobi mwakani

    Af magari yenu hayako sexy wala nn Hayo ye2 ulioweka ni ma DCM ambayo yamepotea ckuiz Af hyo njia ya mbagala kama c kosei kabla ya kupitiswa 4ways miaka kama6 iliopita
  4. lavian

    Ujenzi wa barabara ya kupitia juu kuanza Nairobi mwakani

    Hayo mbna umechukua ya zaman bro Infact dar inamaendeleo ya haraka sana kiasi kwamba miaka mi3 iliopita ni kama miaka10 kwenu Nyingi zinazotumika ambako hamna BRT ni UDA nyekundu flan hv na magari yanayofanana na mwendo kasi ila rangi si sawa
  5. lavian

    JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

    Hilo ni la upinzani nalijua sana hilo
  6. lavian

    Tuache siasa za mitandaoni, Dar kuna matatizo mengi mitaani.Ni kama hakuna serikali kabisa

    Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai maana bila yeye hakuna kiwezacho kuishi. Sinaga ujuzi sana wa kutengeneza hotuba ila nahisi utanielewa hivyohivyo tu. Makonda nakuona unaweka juhudi nyingi sana kupambana na rushwa pamoja na mashoga ambayo ni mapambano mazuri kimaadili ya nchi yetu. Lakini...
  7. lavian

    I love u but i have no feeling with you

    You love your mom but you have no feelings for sex with her
  8. lavian

    Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

    Jamaa naona ni kama mbishi wa kupinga kila ki2 kiwe kibaya au kizuri Watu kama hawa ni hatari sana Hawanaga ukweli Ndo maana namkubali zito maake anajua anachopinga
  9. lavian

    Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Unaujua sana mji asee
  10. lavian

    Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Maake ata TPA nayo ni 40 storey
Back
Top Bottom