Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

Sangita Lodge -Sengeti N.Park
1469801016680.jpg
 
Haha haha..... nacheka mwenyewe tu!!!
Unafiki ni kitu kibaya sana na hujionyesha waaazi hahaha....
Hapa kuna watu fulani walikua wana-google pica na reports za kibera waje wapost ila kwa vile wameona na vyakwao vimesifiwa wamezitunza kwenye folder for later use!!!
Duh...
 
Kila mkoa sasa hivi ina majengo mapya
Tatizo Watanzania hawapendi kupiga picha majengo na kuyaweka mitandaoni.

Juzi nilikuwa Kahama
Kiukweli kuna majengo mapya mazuri
Lakini huwezi yaona myandaoni
hilo ndyo tatizo sijui kwanini hatuna mbwembwe government za wenzetu wanatafuta kabisa photographer nakupiga majiji yao picha kwa camera za viwango vya juu...
 
Back
Top Bottom