Tuache siasa za mitandaoni, Dar kuna matatizo mengi mitaani.Ni kama hakuna serikali kabisa

lavian

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
722
328
Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai maana bila yeye hakuna kiwezacho kuishi. Sinaga ujuzi sana wa kutengeneza hotuba ila nahisi utanielewa hivyohivyo tu. Makonda nakuona unaweka juhudi nyingi sana kupambana na rushwa pamoja na mashoga ambayo ni mapambano mazuri kimaadili ya nchi yetu.

Lakini usijisahau kuwa hakuna vitu vinavyoendelea ndani ya jiji lako.Sasa hivi kuna vikundi vya watu wanaojiunga sana ambao ni wavuta bangi na wa2 wa vijiwe halafu wanaenda kuiba maeneo ya watu pamoja na kubaka wasichana za watu.Haya yote yanaendelea mkoani mwako lakini huyasemi uko kimya tu.Natumaini hata siku moja uweze kutembelea sehemu mbalimbali za mkoa wako na kuwa unauliza maendeleo yao.

Kuna watu wanaibiwa kiasi kwamba akiongea na wewe unatamani ungekuwa umeibiwa wewe kwa jinsi walivyo na uchungu.Polisi wapo, afisa usalama wapo, vifaa vipo lakini hakuna kinachoendelea. Ni siasasiasa ambazo hazisaidii chochote.

Cha msingi ni kuangalia usalama wa watu maana bila usalama hamna maendeleo. Kiasi cha watu kuweka vikundi vya kutembea kila siku usiku vya kulinda ni hali ya kuonesha tukokuiamini serikali.Halafu kingine huwezi jua hivyo vikundi vya kulinda usiku baaadae vinaweza kugeuka kuwa nini.

Hadi muda mwingine naombea kama ningekuwa na vyanzo ningewakamata wote na kuwakabidhi walioibiwa ili nao mali zao zichukuliwe zote. Makonda basi hata fikiria kuwasambaza polisi walinzi katika kila sehem na wawe active katika kulinda mitaa hii. Haa unaweza sambaza namba za simu kila nyumba na kuwapa baba au mama mwenye nyumba pekee ili hiyo namba isizoeleke.

Kikubwa jikite katika mambo makuu ambayo ni usalama, maendeleo na afya. Bila hivyo utamaliza muda wako umefanya kazi bure. Wakamate hao unaowasaka na pia angalia usalama wa jiji lako.Na huyu Kubenea yaani ndo hana muda kabisa na jimbo lake cjui hata kapotelea wapi manake ni kama hatuna mbunge kabisa.

Halafu na huyu mkuu wa wilaya mambo ya kushtukiza mahospitalini ni kutafuta tu umaarufu kwenye magazeti. Apige kazi ili kama ni kujulikana ajulikane baada ya kupiga kazi.Yaani huku kama hakuna serikali.

VIONGOZI MSIJISAHAU ANGALAU UTUMIKIE VEMA ILI UKIZEEKA UJISIFU KWA HUODALI WAKO ULIVYOKUWA KIJANA
 
Serikali ya mwendo kasi,mkuu jilinde mwenyewe ukisubiria hii serikali ya maagizo utakuta watoto WA mbwa washakuzama
 
Kumbuka jiji linaongozwa na ukawa na ukuta
 
Nilishawahi kumshauri Makonda aache huo ubabe wa kwenye media aje huku uswazi na sijamsikia akienda hata siku moja kwa sababu amejijengea mazigara ya kuwa yeye ni mtawala na sio kiongozi.

Muda mwibgi yuko busy na matajiri na kina le mburulaz sijui ni ulimbukeni au ndio ile ugonjwa wa kujisahau alikotoka??????
 
Back
Top Bottom