Recent content by Laurent lucas

  1. L

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    kwa neema wame balance jambo fulan,iman c dhani kma alikuwa ndio kosa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Zitto zitto zitoooo gooooo boy,,, wakuache mtoto wa watu kwani umewakosea nini?;;

    kwan hapa panamuhusu nan wa kuandka jambo la kuwafurahisha, hv leo hamtambui umuhimu wa zitto?.matashangaza sana kumbuken kura za jf na facebook hazitoshi m2 kuwa rais wa tz,mnakumbuka mdomo wa mboye wa karatu ulivyo leta utata ndani ya chama,kwa taarifa yenu dk slaa,mbowe ni safi zitto ni safi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania MH KAWAMBWA live on TBC mada kuu Elimu/Matokeo

    yy aseme atawasaidia vip hao watoto walio fel
  4. L

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai live on Tbc: Anafafanua uendeshaji wa shughuli za bunge!

    tunaomba wapinzan nao waojiwe
  5. L

    JamiiForums Tanzania Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

    uwiiiiiiiiiiiiii bunge letu hoi eti ccm wanajua hvi chadema wanapata umaarufu kupitia bunge
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari

    nimefurahi kwa TRl ndio nilikuwa nasubir kwa hamu ajira yangu maana bodi ndio kila kitu TRL
  7. L

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda aaga rasmi Tanzania Daima

    Kazi kweli kweli mimi nimshukia kwny magazeti kma matatu yaliyo pita nakijua hapa kuna tatizo
  8. L

    JamiiForums Tanzania Treni kubeba abiria 5000

    Ningekuwa na uwezo wa kukutana na kisamfu ningemueleza kuhusu cover za coach mafundi wanaweka kava za muda wangekuwa wanaweka cover ngumu,katk viti vya kukalia maana hv chukui muda kuchanika
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mtwara, CCM imenifariji...!

    Mtoa mada ni jinga sana kazi kushabikia mafisadi tena huyu anachangia nchi kuwa katka hali ngumu
  10. L

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

    Mimi na muomba zitto kabwe akachunguze shirika la utangazaji Tanzania TBC hasa radio station zao hazina ubora kabisa hapa nahisi kulifanyika uchakachuaji hapa? Swali kwake je yupo tayar kufatlia ufisadi huu kama upo?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Walibakia kucheza disco pale dodoma badalaya kutafakari wap tunakosea,wap tunazidi kupatia,walicheza disco kuanzia mwenyekiti hadi mkulima. HAWAKUZUNGUMZIA UFISADI KABISAAAA WAKATI WANAJUA NDIO TATIZO KATKA CHAMA CHAO
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kwachafuka: Machinga wawili wapigwa risasi za moto!

    Cjui kwann watanzania hatufunguk
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM ni waoga

    Katka bunge la leo sikutarajia kuona baadhi ya wabunge wa ccm ni waoga kiasi kile,Jana jion walionekana wa hali ya uchungu na nchi hii leo wamerudi nyuma,hv hata ww kwa akili yako ya kawaida serikali inaweza kuchunguza jambo hili kwa usahihi kabisa na kuleta ukweli hadharan bila kumuonea mtu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe unaua bandari yetu

    Hongera mwakyembe fanya kazi ukiona mtumishi analalamika ujue kazi ya haki inafanyika na ukiona mteja analalamika ujue haki yak imechotwa
Back
Top Bottom