nina kiwanja bunju mwisho kijij chaitwa udindivu
mita 20 kwa 26
bei 5m
maji yanapita mpakan mwa kiwanja..umeme nguzo moja uko karibu sana
uref kutoka bagamoyo road mpaka kiwanja ni 1 to 1.5km
majiran wamesha jenga saana..
bei inaongeleka
hakina hati
sereous buyers call 0754229745
njee ya hayo uliyoandika.
one should change his/her mind i.e the way of thinking.
one should take hard decision to make a choice to change.
one should believe on oneself..
sio lazima kuajiriwa badilisha mawazo kijana na anzisha kazi yeyote kwa capital yeyote no matter what ukifanya sereous...
let it go..
her movemovent is too fast as compared to urs..
kaingia mjin kakutana na fujo za mjin zikamchanganya..kwa namna yeyote hamuwez endana na kwa zaidi ya 85% ya wasichana wakiingia chuo hua hvyo. ni jambo la kawaida usipoteze muda tafuta mwngne aliyekomaa na mweny akil ya maisha
jibu unalo na ushalitoa maana umesema huna hisia nae sasa wataka sis tukupe hisia au ziko dukani ukanunue?? huwez ishi na mtu ambaye huna hisia nae utakua unajilazimisha na kuumizana..
chukua zako 50 songa mbele..nayeye akome ajifunze sio maswala ya kuishi maisha ya tamthilia..huyo she wako ni...
pole sana kwa hofu iliyokusibu..sema acha uoga pamoja na kua jamaa angejua lazma ungumhudumia usik mzima kala ulivyohudumiwa..ukome ile kitu tamu aisee sema kukutwa timbwili lake balaa hapatoshi
mie na marafik zangu kibao wako hvyo..mijitu iko kimyaa inaangalia huku na kule kumbe inadaka news outfits..yaan hawa jamaa wanapiga papuchii balaa coz hawaangalii quality ya she wao wanazomba tuu..
wenzangu na mim tunajifanya tbs so kugegeda unakua shughuli lkn wao hataa hawana hilo suala wao...
pole sana kwa yaliyo kusibu mrembo..
cha muhim cool down kwanza maana inaelekea una speed saana ya kumaliza hili swala..
kikubwa tambua kwamba limeshatokea na kubaliana na matokeo..kama ameshafikia hatua ya kuoa jua kashagive up na wewe na hauna thaman tena maisha mwake..
pia waweza badilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.