AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
kuna ukweli asilimia 80% ukiona mtu si mlokole, hanywi pombe, havuti sigara, haendi club, ni mtu tu wa kawaida na ni mkimyaaa, ogopa sana.
kuna ukweli asilimia 80% ukiona mtu si mlokole, hanywi pombe, havuti sigara, haendi club, ni mtu tu wa kawaida na ni mkimyaaa, ogopa sana.
poa poa babuu, next month, siku ya workers, nadhani nitakuja tabata kukupa salam afu unikabidhi hako kamzigo!Mdogomdogo arif. Ngoja nimalizane nako ishu flani hivi....
Huo ni uonevu na usingiziaji brother, mimi sivuti pombe, sinywi sigara, siendagi club n.k. Starehe yangu kubwa ni mziki wa home na simu, mitandao ya kijamii, kupiga story na watu, matembezi, vitabu n.k. Sasa unaposema tusiokunywa pombe wala kuvuta sigara au kwenda club ni wazee wa kugegeda mmhhh.... Karudie research yako, hao ni 10% tu usigeneralize!
nitake radhi ICHANA! hapo nilipo bold yani umenivua nishani yangu kabisa!!
hivi unajua kwanini nimebatizwa jina la excel??
yani mpaka sasa hard disk imejaa majina ya warembo wangu kuanzia mwezi wa kwanza! imagine how dangerous am I!
kuanzia breakfast, lunch, supper, dinner.. lazima niwe na kipozeo pembeni!
afu hawa wakizaramo ndo wazuri aisee!
mkuu hasira lazima niwe nayo, jitu unaliuliza mara mia mia upo single? linajibu ndio bila hata roho kuuma, aisee hivi roho ya ubinadam ckuiz haipo ee! uongo umekuwa dili yani.. kaaa! yan saiz full kuzama ukucha tu!, awe mtumishi cjui mchungaji wala nani, ukatili tu ndo mtindo mmoja.
unanijuaje mkuu? tungo tata hio ujue! ohooo....aisee excel nakujua. unavyojidiskraib na misamiati yako ni kama nakuona kabisa.
unanijuaje mkuu? tungo tata hio ujue! ohooo....
ok, mi ngoja nilimbo dance...![]()
jamani samehe, hasira itakuletea maradhi. Siku nyingine usimuulize mtu kwa mdomo tu kuwa yuko single. Angalia matendo yake na wewe tunga test umpe uangalie atakavyofaulu.