Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Ndio maana nimeomba ushauri hapa mkuu,mawazo yenu yatanisaidia kufanya maamuzi.
.ndo maana nimekujibu fuata moyo wako...kama unampenda samehe au humpendi achana nae kwa wema achana na visasi
 
Vp ulishajua sababu ya yy kukuacha?

Nilijua baadae,alimpata mjamaa ambae alikua wel off kifedha kuliko mimi,unajua kumiliki binti mzuri mjini huna hela majaribu kama haya yanakua hayakwepeki.
 
Kisas kwenye mahusiano ni mambo ya kiswahil kama uliachwa namtu akajludsha kama hubashda nae achana nae.
 
Duh una moyo mkuu.. Mtu kaenda kujaribu huko.. Pamemshinda anarudi.. Atakuona ----- kweli.. Kwamba akipata mkali zaid yako anaenda pakimshinda anajua anapo pa kwenda kupooza machungu.. Huu ni mfano mzuri sasa wa jinsi wanaumea nae anavyotumika..zamani ilikua kwa mademu tu
 
Huo mwanamke ukicheza atakualibia future yako, kwanza alikuacha bila sababu ya msingi najuwa pia anataka mrudiane bila sababu ya msingi ,pengine anamagonjwa anataka akupunguzie kidogo cha muhimu na wewe mjibu kuwa tayari unaye mwingine:flypig::flypig::flypig::flypig:
 
Samehe yaishe, huna sababu ya kulipa kisasi. Ila ukumbuke alikutenda wakati unahitaji faraja yake. Kaa na ufikiri upya, usitumie moyo kutoa maamuzi, tafakari kwa kina.
 
Achana naye,tena muweke wazi.Haina haja ya kumuumiza just move on.

Nijuavyo mimi,hutaweza kumpenda kama mwanzo.
 
jibu unalo na ushalitoa maana umesema huna hisia nae sasa wataka sis tukupe hisia au ziko dukani ukanunue?? huwez ishi na mtu ambaye huna hisia nae utakua unajilazimisha na kuumizana..
chukua zako 50 songa mbele..nayeye akome ajifunze sio maswala ya kuishi maisha ya tamthilia..huyo she wako ni pasua kichwa ndo kwanza kaanza vituko mbelen subiria makubwa..
maana alivyotuma hyo txt nina uhakika kua alijua wewe ulikua wap na alijua kilichokusibu so alitaka na wewe kukuua kwa hyo ukijiongeza subiria kifo dat was hardly the first attempt ya kukuua trust me...
 
Ngumu kumeza aisee,
Mwambie she ended it,na humuhitaji tena,
kuliko kulipiza kisasi
 
Kaka kama hauna hisia nae potezea utampata mzur sana!!mfano hai ni mm nilishakutana na hayo mauzauza mwsho wa cku nikafuta kifaa kingne aisee naenjoy aje!yule mwngne kapigwa chin ya yule aliyekuwa anamchanganya analeta usumbufu nilishamblock kabisa kwny mind sett yangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom