Naombeni ushauri juu ya hili!

Naombeni ushauri juu ya hili!

Honestly, mpenzi wangu akienda jeshini au polisi au sekta yeyote inayohusisha mambo ya usalama tunaachana hapohapo.

I never loved working with the government especially any security forces(police, JWTZ, JKT, TISS n.k).
 
Pole sana kaka,ila hapo ukweli unajionyesha kabisa kuwa huyo dada hakupendi na mwisho wa cku ukilazimisha hamtakuwa na mwisho mzuri...cha kufanya wewe achana nae tu utapata mwingine,ila na wadada wengine sijui wakoje yan unapata bahati ya kupendwa kiasi hiki bado unaleta ujinga,"kwenye miti hakuna wajenzi nmeamin."
Avatar nzuri🙂
 
Achana naye huyo,mi mwanamke akishakuwa na kiburi hatuwezi kudumu
 
Jichunguze vizuri una matatizo.Hua ni ngumu sana kumwoa mwanamke alowahi kutoa mimba yako tena Kwa hiari yako maana anakuona sehemu ya ukatili aloufanya na anakuona muuaji.Siku ukiwa na mchumba ukamruhusu kwenda chuo bila kukuzalia mtoto au kufunga nae ndoa ujue uwezekano wa kumuoa ni mdogo zaidi kuliko Sumaye kuupata urais 2015.

Khaaaaaa! Mistari miwili ya mwisho imenilaza usingizi jf yatosha hatoki mtu humu
 
Kosa nmeanza kuliona uliposema "amejiunga na chuo kikuu" kiufupi hawa wadada huko vyuoni sijui huwa wanapewa nini? Lakini nakushauri tulia kwanza pembeni akishamaliza chuo atakutafuta mwenyewe tena kwa msamaha. Huyo mpaka masharobaro wa chuo wammege kwanza akishabwagwa ndo atulie.
Lkn na wewe bro nakuona we ni mbulula yani mtu kama huyo bado unawaza ndoa hapo!
 
Pole sana kaka,ila hapo ukweli unajionyesha kabisa kuwa huyo dada hakupendi na mwisho wa cku ukilazimisha hamtakuwa na mwisho mzuri...cha kufanya wewe achana nae tu utapata mwingine,ila na wadada wengine sijui wakoje yan unapata bahati ya kupendwa kiasi hiki bado unaleta ujinga,"kwenye miti hakuna wajenzi nmeamin."

nashukuru sana kwa ushauri wako,and am on it now coz am tired ov uncomfortable stress
 
Mwanamke mwenyewe mjeda, mkomalie tu aje akuvunje shingo.....
 
Kosa nmeanza kuliona uliposema "amejiunga na chuo kikuu" kiufupi hawa wadada huko vyuoni sijui huwa wanapewa nini? Lakini nakushauri tulia kwanza pembeni akishamaliza chuo atakutafuta mwenyewe tena kwa msamaha. Huyo mpaka masharobaro wa chuo wammege kwanza akishabwagwa ndo atulie.
Lkn na wewe bro nakuona we ni mbulula yani mtu kama huyo bado unawaza ndoa hapo!

thnx am on it!!
 
Sijawahi kusikia Simba anateswa na Swala...sijawahi sikia mimi.
 
Kachoka kukosolewa kosolewa. Au hapendi kukosolewa kosolewa. Kuitwa masikini ni kukosolewa pia hujui? Unamkosoa mtu dosari zake. Na wewe dosari yako ni masikini.

Tafuta anae penda kukosolewa na kukukosoa. Siku ingine tumia akili. Ukiona una vidosari husikosoe watu maana na wewe utakosolewa na unawekewa offline.
 
let it go..
her movemovent is too fast as compared to urs..
kaingia mjin kakutana na fujo za mjin zikamchanganya..kwa namna yeyote hamuwez endana na kwa zaidi ya 85% ya wasichana wakiingia chuo hua hvyo. ni jambo la kawaida usipoteze muda tafuta mwngne aliyekomaa na mweny akil ya maisha
 
Back
Top Bottom