Recent content by Lastname

  1. Lastname

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Nyerere 'Urais wao' umefanana sana...

    Mkuu bado uko chini ki analysis: Huyu wa pili wewe huoni kuwa alikuwa na desa? alijitahidi kuiga mambo ya mwenzake lakini kwa sababu hakuwa na ownership yakamshinda. Imani zao kwanza zilikuwa tofauti mwingine akiamini tunaweza mwingine akiamini mpaka tuwezeshwe. mwingine akithamini hela zake...
  2. Lastname

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Okay English man, where is your facts?
  3. Lastname

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    hhaahaha Magufuli na Lowasa ni team moja.
  4. Lastname

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    waziri mzembe na yule ambaye anajijua ni fisadi nawaonea huruma sana sio kwamba magufuliu atawashughulikia la hasha maana Magufuli naye ni kama watangulizi wake, mliyoyaona mwezi ulopita hayatafika mwaka wa tano. Ila vichapo watapata toka kwa wabunge wa upinzani ambao wamejipanga vizuri sana...
  5. Lastname

    JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii ana maana gani?

    Maana yake wewe huaminiki na atakumwaga tu
  6. Lastname

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na Lissu wakosoa uteuzi wa Prof. Muhongo

    Mtoa mada una shida ya exposure tu si kingine, hujui upinzani maana yake nini na mchango wake katika maendeleo.
  7. Lastname

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Watanzania ndivyo tulivyo hatuangalii mambo kiundani sana. Magufuli anachofanya sasa hivi anaweka network yake ya ulaji kwa kuwatoa watu wasio wake sehemu zote nyeti. Huwezi kwenda pahala popote leo ukakosa makosa hayo huwa yapo hata ofisi ya mtendaji wa kijiji. Ila focus yetu kwa sasa ni...
  8. Lastname

    JamiiForums Tanzania Swali korofi! Kwanini ajenda ya kupinga ufisadi imerudi CCM kwa nguvu kubwa?

    Toka lini ukawa muumini wa ukawa. Subiri atende, JK alituambia katika hotuba yake kuwa serikali yake haitakubari kuchanganya siasa na biashara na watu wachague moja tu. Tulifurahi na kusema Nyerere kazaliwa upya, matokeo yake hilo jambo liliongezeka kwa kasi sana hata wabunge ambao walikuwa...
  9. Lastname

    JamiiForums Tanzania Interest rates za NMB , CRDB na NBC?

    piga simu cutomer service unapata habari za uhakika, au tembelea maana mimi nachojua NMB wako nafuu kuliko wengine hao
  10. Lastname

    JamiiForums Tanzania Interest rates za NMB , CRDB na NBC?

    i think you meant, loan interest rates; Sijuwi !
  11. Lastname

    JamiiForums Tanzania Wasanii walioshiriki Uchaguzi Mkuu waangaliwe kwa jicho lingine

    walilipwa hela
  12. Lastname

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, hivi ni sahihi kufuta kabisa safari za nje?

    yes zifutwe, ila ni kwa sisi ambao chance ni zero za kwenda nje
  13. Lastname

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwa tukio la Lowassa tuliyeelezwa kwa miaka karibu 8 nyuma kuja kuwa mgombea urais?

    Nimejifunza kuwa ukimsingizia mtu bado ukwelui unabaki pale pale. Wanahci wameonekana kumpenda sana tu huku wakitaka kuwatoa mafisadi wa kweli.
  14. Lastname

    JamiiForums Tanzania Rais ni mtumishi wetu na wala siyo Bosi wetu

    Akili yako ndo imeishia hapo, "mteja mfalme" kale usilipe uone kichapo utakachopokea. Kuna mtumishi anapata mshahara mkubwa kuliko boss wake? Kuna mtumishi anatembea na walinzi boss hana hata mgambo, kuna mtumishi anatembea na msafara boss anachapa lapa, kuna mtumishi anamwamlisha boss wake cha...
  15. Lastname

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atangaza Novemba 5, 2015, kuwa siku ya mapumziko

    Du kumbe tuko wengi, hata mimi nimewaza sana. Ni hasara kubwa sana imesababishwa na uamuzi huo. Waginjwa wamekosa madaktari mahospitali, Safari nyingi zimeahirishwa, ulipiajio wa storage za nmagari TRA, Mabeni kufungwa wakati watu hawakujua kuwa wajiandae mapema, wafanyakazi wote wamelipwa siku...
Back
Top Bottom