Mtu wa namna hii ana maana gani?

Mtu wa namna hii ana maana gani?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,030
Morning jf,

Let say upo kwenye relation but daily huyo mpenzi wako uliyenae daily ukiwa nae au mkiwa mko chatting anakuuliza unanipenda kweli hutonisaliti pia hutoniacha.

Hivi huyo mpenzi anakua ana maanisha nini hasa kwa maswali hayo ambayo daily anakua anayarudiarudia!
 
maana yake hakupendi anat6egemea ujichanganye tu iwe ndiyo nitolee
 
Morning Jf,let Say Upo Kwenye Relation But Daily Huyo Mpenz Wako Uliyenae Daily Ukiwa Nae Au Mkiwa Mko Chatting Anakuuliza Unanipenda Kwel Hutonisaliti Pia Hutoniacha..Hivi Huyo Mpenz Anakua Ana Maanisha Nini Hasa Kwa Maswal Hayo Ambayo Daily Anakua Anayarudiarudia!
Hata kama shule zimefungwa, wewe wa darasa la saba unatakiwa kwenda tuition.
 
Hii post yako ina uhusiano gani na heading khs mtu wa HIV?
 
Back
Top Bottom