Interest rates za NMB , CRDB na NBC?

Interest rates za NMB , CRDB na NBC?

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Naomba kujua borrowing interest rates za CRDB, NMB na NBC kwa mwaka kwa mfanyakazi, ahsante.
 
Piga simu ya costumer care uwaulize ! Watakujibu kwa uhakika zaidi..

Wengine watakubahatishia tu
 
Wote ni 18%kama ni mtumishi tofauti ni kwamba Nmb ni Non-reducing balance wakati Crdb ni Reducing balance ila Nbc cna uzoefu.
 
Wote ni 18%kama ni mtumishi tofauti ni kwamba Nmb ni Non-reducing balance wakati Crdb ni Reducing balance ila Nbc cna uzoefu.

embu nieleweshe kidogo kati ya reducing na non-reducing balance, utofauti wake kwa mkopaji
 
Reducing meaning umekopa 1000000 na riba ni 1% kwa mwezi hivo mwezi wa kwanza watakata 1%*1000000=10000 hivo unabaki na 990000 mwezi unaofata utalipa 1% ya 99000 etc kumbe kwenye non reducing muda wote utalipa 1% ya 1000000 hats kama umebakiwa na den la 1000 utalipa 1% ya 1000000.nbc pia ni reducing. But wanavofanya wanatafutia wastan hivo kiwango kinakuwa fixed kuepusha usumbufu wa kukalkuleti kila mwezi
 
Back
Top Bottom