The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Kikwete kama Kikwete na Nyerere kama Nyerere ni watu wawili tofauti kabisa.. Lakini ukitazama matukio na jinsi walivyoendesha mambo na matokeo yake kuna kufanana kukubwa sana kwa urais wao....Hakuna Rais mwingine anaefanana nao..
Hapa ntajaribu kuweka baadhi ya mambo ambayo hawafanani na Mkapa wala Mwinyi
lakini wao wawili yalijitokeza zaidi..
1. JK - Wote wametumia hilo jina
2. Kuwapa wananchi matumaini makubwa: Nyerere baada ya Uhuru, Kikwete baada ya kushinda urais.. Matumaini yalikuwa makubwa sana.
3. Kauli mbiu: 'Siasa ni kilimo' Nyerere, "Kilimo kwanza" Kikwete,
4. Kusafiri: Kikwete Marekani zaidi ya mara 15, Nyerere China zaidi ya mara 13.. Na pia kusafiri nchi mbalimbali... Wote rekodi zao Mkapa wala Mwinyi hawakaribii.
5. Kugombana na majirani: Nyerere; Kenya, Malawi na Uganda tukapeleka jeshi kumtoa Amin. Kikwete; Kenya, Malawi na Comoro kupeleka jeshi kumtoa mtu..
6. Tuzo za heshima: Nyerere na Kikwete tuzo nyingi kuliko Mkapa na Mwinyi.
7. Nyerere; Waziri Mkuu kutoka Monduli Sokoine. Kikwete; Waziri Mkuu kutoka Monduli Lowassa. Wote first name Edward..
8. Nyerere alituhumiwa kuwapendelea wakatoliki wenzake. Kikwete alituhumiwa kuwapendelea waislam wenzake..... Tuhuma hizi hazikuwa strong kwa Mwinyi na Mkapa
9. Nyerere alikuwa na mtu wake anaemuamini sana, Kawawa. Kikwete alikuwa Yusuph Makamba. Tazama Kawawa na Makamba majina yao yalivyo, tazama vowels... Wote Kawawa na Makamba walikuwa moderate muslims wenye wake wakristo..
10. Nyerere alifanyiwa mbinu na chama chake akashindwa kumrithisha mtu wake Salim. Kikwete nae hivyo hivyo chama kilimkomesha akashindwa kumrithisha mtu wake Membe..
11. Salim aliwahi jaribu kuwa katibu mkuu wa UN akashindwa, Membe kajaribu ukatibu Commonwealth akashindwa.
12. Wote walijaribu kuwa active baada ya kustaafu Urais huku wananchi wakitamani wapumzike. Nyerere aliwahi kutuhumiwa kujaribu kumfundisha kazi Mwinyi, Kikwete pia na Magufuli tuhuma zinazojitokeza.
13. Kikwete ni msuluhishi wa mgogoro Comoro na Zanzibar.. Nyerere msuluhishi Burundi na nchi kadhaa.
14. Kikwete anatuhumiwa kuacha nchi pabaya kiuchumi kwa rushwa kutapakaa na ukwepaji kodi. Nyerere aliiacha nchi pabaya kwa watu kukosa mahitaji hadi foleni za unga na sigara.
15 Nyerere ali struggle ku adjust maisha baada ya kustaafu.. Kikwete nae ana struggle. Butiama ilianza pata umaarufu kama Msoga now inaanza kuwa maarufu.. Uliza vijiji vya Mwinyi au Mkapa..
16. Kikwete ameacha rekodi mpya ya idadi ya shule, vyuo na kadhalika. Nyerere aliacha rekodi mpya hasa baada ya kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni ikiwa hoi zaidi..
17. Nyerere alikuwa na urafiki na Rais wa Marekani Jimmy Cater akapewa ziara ya kipekee Ikulu ya Marekani. Kikwete alikuwa close na Bush akialikwa Ikulu pia..
18. Diplomasia ya Tanzania ilikuwa juu sana chini ya Nyerere.. Kikwete pia alijitahidi kulinganisha na Mwinyi na Mkapa....
19. Wote walipachikwa majina kutokana na style za uongozi wao; Musa, Vasco da Gama..