Swali korofi! Kwanini ajenda ya kupinga ufisadi imerudi CCM kwa nguvu kubwa?

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Kwa sasa hivi najisikitikia Ni kwa nini sikumpigia kura mh Magufuli maana kwa sasa hivi watu WA ukawa hatuna nguvu kabisa za kulisimamia tena jambo hili, Ni kwa nini basi mpaka tumefika hapa?

Jana Mh Rais alipokua akiongelea hili jambo kwa ujasiri mkubwa sisi watu WA ukawa hasa WA chadema tukawa tunaona kama tunalengwa sisi Tu, kwa nini chadema tumefikia hapa?

Tutafakari tujipangeni upya, turudi kwenye misingi yetu.....#Hapakazitu#
 
fukunyungu

Ajabu hatua stahiki zitakapoanza kuchukuliwa dhidi ya mafisadi makada wa ccm ndio wataangua kilio. Jaribu kuangalia bomoabomoa inayoendelea hapo Dar, wahanga wakubwa wa zoezi hilo ni makada wa ccm!! Yetu macho maana kipropaganda cdm ndio chama cha mafisadi lakini hatua zikichukuliwa dhidi ya mafisadi wanaccm ndio matumbo joto na vilio juu.
 
Last edited by a moderator:
Toka lini ukawa muumini wa ukawa. Subiri atende, JK alituambia katika hotuba yake kuwa serikali yake haitakubari kuchanganya siasa na biashara na watu wachague moja tu. Tulifurahi na kusema Nyerere kazaliwa upya, matokeo yake hilo jambo liliongezeka kwa kasi sana hata wabunge ambao walikuwa hawafanyi biashara wakaanza. Basi kwa mafisadi ngoja tumuone Magufuli akimshughurikia Chenge, Rizwan, Mkapa, Sumaye, Rostam, JK n.k
 
mbona unamsahau mbowe .mtei.luwassa ndiyo no 1.kingunge.unataja wengine wengine hapanakwanini?
 
Sababu ukawa ufisadi sio dahambi tena kwa sabubu wamejifisadi kwa kuuza chama itakuaje iwe ajgenda tena kwao
 
fukunyungu

Ajabu hatua stahiki zitakapoanza kuchukuliwa dhidi ya mafisadi makada wa ccm ndio wataangua kilio. Jaribu kuangalia bomoabomoa inayoendelea hapo Dar, wahanga wakubwa wa zoezi hilo ni makada wa ccm!! Yetu macho maana kipropaganda cdm ndio chama cha mafisadi lakini hatua zikichukuliwa dhidi ya mafisadi wanaccm ndio matumbo joto na vilio juu.

Haya ndio mabadiliko, mafisadi walikuwa wengi ccm lakini wamemkimbia Magufuli waliobaki watakumbana na kilio na walioondoka na kujaribu kumzuia nao watakumbana na kilio
 
Kwa sasa hivi najisikitikia Ni kwa nini sikumpigia kura mh Magufuli maana kwa sasa hivi watu WA ukawa hatuna nguvu kabisa za kulisimamia tena jambo hili, Ni kwa nini basi mpaka tumefika hapa?

Jana Mh Rais alipokua akiongelea hili jambo kwa ujasiri mkubwa sisi watu WA ukawa hasa WA chadema tukawa tunaona kama tunalengwa sisi Tu, kwa nini chadema tumefikia hapa?

Tutafakari tujipangeni upya, turudi kwenye misingi yetu.....#Hapakazitu#

Kiongozi hiyo ndiyo gharama ya kubadili gear angani.
 
Kwa sasa hivi najisikitikia Ni kwa nini sikumpigia kura mh Magufuli maana kwa sasa hivi watu WA ukawa hatuna nguvu kabisa za kulisimamia tena jambo hili, Ni kwa nini basi mpaka tumefika hapa?

Jana Mh Rais alipokua akiongelea hili jambo kwa ujasiri mkubwa sisi watu WA ukawa hasa WA chadema tukawa tunaona kama tunalengwa sisi Tu, kwa nini chadema tumefikia hapa?

Tutafakari tujipangeni upya, turudi kwenye misingi yetu.....#Hapakazitu#

Ukawa wapo kwa sefu sasa,lowassa wamemtupa kama mzoga wa mbuzi
 
wajanja tulimpigia kura magufuli kwa sababu hatukua na mbadala nje ya ccm pamoja na kuwa sisi ni wapinzani.

Back
Top Bottom