Recent content by laskaboza

  1. laskaboza

    Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kwa upande wangu, naona vijana wengi waliokua bench kwenye suala la Ajira wamefanikiwa kupata Ajira kipindi cha utawala huu. Najua Familia nyingi zitapata ahueni kupitia hao vijana. Kwa hilo nampa maua yake.
  2. laskaboza

    Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Talents zipo. Na unaanza kuziona ukiwa Shule. Kuna binadamu hata usome vipi, huwezi kuwapita kwa sababu wana uwezo mkubwa (talent) kwenye hilo eneo kukuzidi wewe. Unachokizungumzia wewe ni "to get better" at something. Yani kwamba kila mtu akiweka juhudi katika kitu chochote basi anaweza akawa...
  3. laskaboza

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Kuna kitu kwenye akili yake hakijakaa sawa. Sio jambo la kawaida mtu kuteseka kuona watoto wanaenda shule za EMs.
  4. laskaboza

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Shida yako ni nini? Mbona uko frustrated sana na shule za EMs? Chill Bro. Hakuna anayeshikiwa Bunduki ili apeleke mtoto huko.
  5. laskaboza

    Ufaulu wa miaka hii

    Kuna uwezekano mkubwa sana wanafunzi wote walikutana na zaidi ya asilimia 90 ya maswali ambayo wameshayafanyia mazoezi. Swali ni ilikuaje walimu wakaweza kutabiri maswali kwa kiwango kikubwa hivyo? tena kwa masomo zaidi ya saba? It's insane!
  6. laskaboza

    UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUOTES

    Hizi mambo za haki sawa ni bora uachane nazo. Zitakusumbua!
  7. laskaboza

    Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

    Itakuchukua miaka 8 na miezi 4 kufikisha 100M ikiwa kila mwezi utasave Milioni Moja. Sasa piga hesabu wabongo wangapi wanaweza kusave hiyo Milioni moja kila mwezi. (wachache mno) Halafu njoo kwa wanaoweza kusave laki tano kila mwezi kisha double hiyo miaka ya saving hapo juu. (hapa pia wapo...
  8. laskaboza

    Nina Miaka 32, nahisi sitokuja kuoa kabisa

    IFM Product katika ubora wake.
  9. laskaboza

    Mke wangu kanipa wakati mgumu

    It's not winning battles that makes you happy, but it's how many times you turned away and chose to look into a better direction!
  10. laskaboza

    Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Come on Bro! Pesa ni mchezo wa Namba. Ni watu wangapi mwalimu wa serikali anaweza kufundisha kwa siku? Na ni watu wa aina gani? Ni watu wangapi walifuatilia game ya Azam na Simba jana? Na ni watu wa aina gani? Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kupata huduma ya Mwalimu wa serikali kwa...
  11. laskaboza

    Hii ndio maana ya ndugu lawama

    "Rafiki hupenda sikuzote; Na ndugu amezaliwa kwa siku ya taabu." Mithali 17:17
  12. laskaboza

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kwanza huyo mume wake yupo smart kuliko wewe. Pili, huyo mwanamke kaachwa kimtego, watu wa Ball tunasema mwamba anavizia counter attack. Anajua huyo mwanamke ndiyo atakayekuingiza kwenye 18 zake. Ngoja nikupe akili kidogo... Logically, haiwezekani Mwanamke mwenye stara ya kuwa mke wa mtu...
  13. laskaboza

    Sijaelewa TANAPA kuweka kikomo cha umri kwenye nafasi zao za kazi

    Ni vigezo vyao. Usilalamike. After all life isn't fair, is it? Kesho utaanzisha uzi wa kwanini taasisi fulani wameweka GPA kuanzia Upper Second ili uweze kuomba kazi? Au kwanini taasisi fulani wanakupima kwanza afya kabla hawajakuajiri? And it will go on and on... so stop it. Kuna...
  14. laskaboza

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Tuachane na mada ya mtoto. Embu tueleze wewe na mkeo mnaishije? Kuna viashiria vyovyote vya usaliti ulivyowahi kuviona kabla hajabeba ujauzito? Je wewe ni muaminifu kwake? Huna makandokando? Kwa sababu wakati mwingine wewe kutokuwa mwaminifu kunaweza kukuathiri hata wewe mwenyewe...
  15. laskaboza

    Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    Pambana uanzishe cha kwako na wewe ujaze watu wa kwenu. Simple tu!
Back
Top Bottom