Wakuu habari za saa hizi?
Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu anisaidie, nina router ya kampuni ya Smile. Je kuna uwezekano wa kui manoeuvre itumike kwa mitandao mingine kuachana na smile, yani kama nikitaka kutumia line ya voda au TTCL isome?
Suluhisho sio matuta maana hayo ni kuharibu tuu barabara, ile barabara ni “ Highway” haiwezekani watu wawe wanavuka kwa kukatiza barabarani kile sehemu ya watu kuvuka kuwekwe daraja la watu kuvuka sio matuta
Unasema Magufuli alijenga vituo 44 wakati kwenye Tv kulikua na matangazo ya vitu 1000+ na picha za vifaa vilivomo kwenye hivo vituo[emoji23][emoji23][emoji23] huyu naye akitoka tutakuja kusikia alijenga vituo 5 tuuu
Kundinga sasa hivi anapiga debe mida ya jioni pale kimara upande wa gari za kwenda Mbezi siku hizi amekwisha kawa mpole kama teja tangu amefungwa ametoka mnyonge sana ingawa enzi zake alisumbua sana, alikua nakaa sana mnarani kwa akina Simbani
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe hamna kitu, Meko je yuko wapi?? Kama hii ni vita amiri jeshi mkuu yuko wapi??
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.