Recent content by Lantino melanto

  1. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

    Mbona hayo maridhiano alivofanya hatukuona matunda yake. Zaidi zaidi baada ya maridhiano tulishuhudia watu wakitekwa na kuuwawa wakina Ally Kibao, Soka na Sativa Je Kuna haja gani yakuja na sera ya maridhiano kwa mara ya pili ilihali maridhiano ya Kwanza matunda yake watu waliuawa na kutekwa?
  2. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nakumbuka global alliance waliibuka enzi za JPM na watu wakatapeliwa labda mtoa post alikuwa hajazaliwa
  3. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Ongezea na global alliance ilikuwa wakati wa utawala wa JPM na watu walitapeliwa
  4. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Moro Town: Mji unaoongoza kwa wajanja Tanzania

    IPO maeneo gani hiyo
  5. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Tabora na uswahili wapi na wapi wakati ni ulugha lugha tu Huko vijijini mtoto anasoma Hadi darasa labsaba lakini kuzungumza kiswahili hawezi
  6. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Usiseme inafanana na baadhi ya wilaya za mikoa mingine sema inafanana na Wilaya ya Namtumbo ambayo ipo ndani ya mkoa huo wa Ruvuma OVER
  7. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mkosi?

    Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
  8. Lantino melanto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

    Kama mtoto anapewa ubini wa mama yake mtaachaje kuaibika
  9. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:57
  10. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA
  11. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    Angalia Bei wakati wa kikwete katika bidhaa Kama sukari , cement na bati Kisha njoo fananisha Bei za bidhaa hizo wakati wa JPM utagundua bidhaa zingine zilipanda double kabisa , ila tatizo watu enzi za JPM mliweka ushabiki mkaacha ukweli Nsennah nafikiri upuuzi wa kujifanya hamkuona mfumuko wa...
  12. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Nice Sana [emoji1666] kiongozi
  13. Lantino melanto

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    @gladiator4440 ni kweli ule ufisadi wa trillion 1.5 za JPM tumeshasahau.
Back
Top Bottom