Recent content by landless

  1. landless

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Nikitaka kuagiza za UK naombei link namna ya kufanya
  2. landless

    JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Kuna wale walikuwa na mchezo huo pale round about ya kigogo, Yani wanaweka watu kama watatu ukitaka kuvuka tu wanapita na traffic wanakuwa pale mbele wanakusubiri, Kuna mama mmoja mchaga mchaga hivi balaaa sana.
  3. landless

    JamiiForums Tanzania Vengu komaa hivyo hivyo

    Vengu yupo Nyumbani kwake, Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi anakaa na Ndugu zake
  4. landless

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Califonication series
  5. landless

    JamiiForums Tanzania sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    Hamia Airtel money hakatwi MTU hapa
  6. landless

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo usiyoyafahamu kwa baadhi ya wadada wanaotumia mtandao wa mapenzi wa Badoo

    Vipi kuhusu tagged kill it then wengine wapo wayn aiiii hiii mitandao.unaanza na kik ya kusalimia.sifia.wapiwakaa number ya simu.then outing game is over.and u don't know each other its only 1 week assignment na max unatengeza course work tu.Carefull guys the world is ures why hurry????cyoo guys.
  7. landless

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

    Njia panda ya kwenda Mbutu kichangani. Dege
  8. landless

    JamiiForums Tanzania Safar ya S. Africa kibiashara, help please

    Kama una 4 mill,tenga chukua 3 mill,njoo Kampala nauli 90*2 = 180,000,magari ya spider,then tenga kama laki 150,000 ya kula na malazi,then tenga 270,000 ya kusafirisha mzigo,the 2.4 mill unafunga mzigo wa mashuka,mablanketi makubwa,mapazia ya kisasa,nguo za kike na mikoba ya kike classic,na...
  9. landless

    JamiiForums Tanzania Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Mkuu Inafikia hapa then inastack!!!
  10. landless

    JamiiForums Tanzania Toyoya Super Custom Vs Noah

    Supercustom hii hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/376532-toyota-hiace-for-sale.html#post5342984
  11. landless

    JamiiForums Tanzania Gari kwa anauza

    Toyota townHiace,mayayi full A/C luxury seats,Chech the link https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/376532-toyota-hiace-for-sale.html#post5339384
  12. landless

    JamiiForums Tanzania Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

    Sorry to say,mi kwangu kusoma ni sehemu ya kazi,huwa nahakikisha napata scholarship kabisa kupata mshahara wa mwezi.So ni muono wako tu ndio hasi.Na kama kungkuwa na uwezekano, kazi ingekuwa kutafuta scholarship na kusoma tu.
  13. landless

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli haya yanatokea bahati mbaya??? Wakurya nitashukuru zaidi kupata ushirikiano wenu....

    Mhhh,tickling ni mchezo wao,nimeshakutana nao sana,but siku hizi wananifahamu so malipo kwanza kazi baadae,vinginevyo piga chini sio lazima.
  14. landless

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya bei nafuu, nna Milion 3.

    Jitahidi ujue number za spaner vile vile,na maduka ya kununulia spea,maana unaweza kujikuta unafanya kazi ya kuumba gari hadi lifikie thamani yake halisi,keep on going
  15. landless

    JamiiForums Tanzania Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

    Na warangi wamesahaulika,Issaka,Ntisi,Kijuu,Sambala,Foka,Nyanganyi,Lubuva,Mkwata,Kova,Mvula,Majala,Mnonu,Sare,Bimbiri,Ndwata,Massengi,Saburi
Back
Top Bottom