Vengu komaa hivyo hivyo

Vengu komaa hivyo hivyo

Ni vyema kama anaendelea vizuri. Maana wengine tulishamsahau kabisa
 
Wengine hatumjui picha tafadhari.
Ukiona picha ya Lyatonga Mrema, basi umeiona picha ya Joseph Shamba a.k.a Vengu! Mtoto wa Ifakara.

Alikuwa anapatia sana kuigiza kama Mzee Mrema enzi hizo! Kama ilivyokuwa kwa Mpoki kama Captain John Komba! Masanja kama Msambaa na Joti kama Babu/mtoto wa shule ya msingi.
 
Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.

Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.

Hafii mtu hapa!
Punguza stress!
 
Vengu yupo Nyumbani kwake, Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi anakaa na Ndugu zake
 
Enzi hizo ze comedy EATV na badae wakahama wakijiita orijino komedy kwa TBC1 ilikua kila alhamisi lazima saa 1 watt wote tuwe sebulen kuchek show

joti na mpoki ndo walikua siyo sura ngeni kwangu maana nilishawona kwenye maigizo ya mambo hayo ila vengu, masanja, makregan, mama imma nilianza kuwajulia hapo
 
balaaa mbona
Screenshot_20220527-173021.jpg
Screenshot_20220527-173247.jpg
Screenshot_20220527-173302.jpg
 
Hawa walimtukana mzee Mengi.laana ikawavaa.
 
Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.

Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.

Hafii mtu hapa!
Vengu mbishi
 
Back
Top Bottom