Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

hahaha mimi nina unlimited kitambo,,, kuna vitu nlitaka kuprove.. nimepata sever za uhakika hazina limitation.. tufanye exchange.. angalia pm

Server zako ulizonipa hazijafunguliwa Port yetu hivo ni impossible kabisa tafuta wale wenye UDP Server **
 
Mkuu umetumia server gani coz kwangu karibu Zote zinakataa, msaada plz na dongle unayotumia ni zile locked au universal
 
Mkuu soma page ya 1 utaona kuwa kuna server zimewekewa X hivo usitumie hizo
 
oya njunwa naona unazingua sana kama unataka tukulipe si useme kuliko kutupa utamu ambao unakata kwa mda mchache,funguka ndugu ili tukuchangie na wewe utupe hayo mautundu
 
mkuu tuwezeshane hilo basi jekundu
Mkuu yeye ni mfanyakazi wa hilo basi jekundu kuna minamba ananitumia kama msg nikiiforward kwenda namba flani ndipo napewa gb 5 nitumie kwa mwezi japo mimi uwa nazimaliza siku moja maana ni mtu wa kudownload sana kwa hiyo uwa ananipa kila baada ya siku 2
 
Muombe free site basi ili niwatoboe hao wasen#e maana wanabana kinyama yaani free site yao huwa ni ya siku mbili baada ya mda inalipiwa
borea hata tigo wana m.tigo.co.tz
 
njuva ntamuomba japo yeye si technician wa hizi mambo nkipewa ntakufowardia kwa pm
 
Muombe free site basi ili niwatoboe hao wasen#e maana wanabana kinyama yaani free site yao huwa ni ya siku mbili baada ya mda inalipiwa
borea hata tigo wana m.tigo.co.tz

hawa bas jekundu wapo stable hasa wa huku tz..
 
oya njunwa naona unazingua sana kama unataka tukulipe si useme kuliko kutupa utamu ambao unakata kwa mda mchache,funguka ndugu ili tukuchangie na wewe utupe hayo mautundu

Ukinichangi ntashukuru sana
Mmm sizingui ila nimeona hamshughulikii tutorial nilizotoa
Pia lengo niku-Promote VPN watu wasikariri PD Proxy tu maana mpaka sasa niki connect server za Torrent naaambiwa server is full
 
aisee kitu kilikubali speed 400kbps ila usiku kimegoma tena, naambiwa niingize sername na password
 
Back
Top Bottom