Recent content by Landala

  1. Landala

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Kwa hiyo wewe ni 2007 - 2010.
  2. Landala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kiongozi watu tumeanza kula mbususu toka 1996 tupo darasa la nne tukiwa wadogo hadi Leo hii 2022 tupo na familia.
  3. Landala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwaka 1998 nikiwa nipo darasa la sita familia yetu tulihama kutoka mkoani kuja Dar, mzee alikuwa ameishapanga mitaa ya Mwananyamala karibu na soko kipindi hicho ile bara bara ilikuwa haijawekwa lami, sasa nyumba tuliyokuwa tumepanga ilikuwa na mabafu mawili, bafu moja lilikuwa halina mlango na...
  4. Landala

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kumhamisha mwanafunzi wa Form 1

    Mkuu huo ni utaratibu wa zamani siku hizi unafanyika online, unaenda shule anayotaka kuhamia mkuu akikuambia nafasi ipo unawasiliana na shule anayotoka mwanafunzi wanakupa prem namba ya mwanafunzi Kisha unawapatia shule anayohamia hiyo prem namba, wanamuwekea nafasi tunaita reserve Kisha shule...
  5. Landala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    Kesho magazeti utasikia, Simba aendelea kugawa, zamu hii ilikuwa ya Kagera Sugar kumpakata Simba.
  6. Landala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Simba yapigwa kimoja dakika 90 huko Mbeya.
  7. Landala

    JamiiForums Tanzania Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

    Leo saa nne asubuhi matokeo yanatangazwa
  8. Landala

    JamiiForums Tanzania Mtume J Mwingira Kahojiwa na kuachiwa Huru

    Isije kuwa Mtume na Nabii Josephat Mwingira nae anatafuta Jimbo la kugombea 2025 Kama ilivyokuwa kwa Askofu Gwajima kwenye seke seke lake na Makonda.
  9. Landala

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Lakini kwa kiwango chako cha elimu na uzoefu kazini inabidi wilayani wakufikirie kukupa shule uongoze.
  10. Landala

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Victor Willbard Mlaki hujapewa tu ukuu wa shule toka umerudi toka masomoni ulikoenda kuchukua Master's.
  11. Landala

    JamiiForums Tanzania Bunge: Tumemuhoji Askofu Gwajima na ametupa ushirikiano wa kutosha na kazi bado inaendelea

    Yaani nchi hii wabunge kwa kutafuta posho hawajambo hapo tayari kamati ya bunge ya kuwahoji Gwajima na Jerry Silaa imeishaweka kibindoni posho nono.
  12. Landala

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Kweli kabisa
  13. Landala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria sherehe za kumuapisha Rais Mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema

    Duu! Watu wanaenda Kula per diem kutoka kwenye hela za tozo na Kodi za majengo zinazokatwa kupitia Luku.
  14. Landala

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hivyo vibinti unaweza kukuta vinaenda kuwa chakula ya baadhi ya wakuu wa idara maana bado vinawashwa washwa.
Back
Top Bottom