Recent content by Lamtongi

  1. Lamtongi

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    u simply don't know what you are saying
  2. Lamtongi

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  3. Lamtongi

    Nimenunua TECNO Q1(Android) na haya ndio ninayoweza sema kwasasa

    tecno iko vizuri sana hasa zenye 4.2.2 android version or jelly bean...inakaa na charge muda pamoja na kuwa na apps nyingi zinazoRun online. pia kama ni standby inakaa na charge muda mrefu sana kitu ambacho ni uongo kwa simu aina ya SUMSUNG, LG, Ambazo nilishawahi kutumia ambazo zinaheat vibaya...
  4. Lamtongi

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Iko hivyo....CDM 2015 is our time no doubt
  5. Lamtongi

    Kuanzia leo naunga mkono CHADEMA na sio CCM tena

    karibu... Sahau yote uliyoyazoea huko sisiem! Kuwa mpya kifikra na kiupeo...nina imani utafarijika kuinvest ktk chama la watu makini
  6. Lamtongi

    Mh. Freeman Mbowe(mb) na M/kiti au (Mkurugenzi) wa CHADEMA na Madeni ya Uchaguzi

    you are actually suffering from nose and ear bleed...pumba hizi
  7. Lamtongi

    Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    ujinga mwingine bora kuupotezea kwa sababu kuufikiria tu ni upotevu wa resources za ubongo...Uzi hauna mashiko PUMBA TUPU!
  8. Lamtongi

    Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

    Nimependa sana akili zako...natamani wangekuwepo watu .10 wenye akili kama zako katika ngazi za juu serikalini
  9. Lamtongi

    Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

    Kweli dada nafuu na Popo anaetambua mapito yake kwa sauti zake... Wewe ni zaidi,kuona huoni kutumia akili zako kutambua kilicho mbele yako huwezi! Angalia ccm walivyobanwa na cdm alafu utafakari kuliko kujipa matumaini ambayo mwisho wake utakimbia humu mwenyewe. Soma alama za nyakati
  10. Lamtongi

    CCM na wazee, CHADEMA na vijana

    Hongera sana mzee wangu! Natamani fikra kama hizi zingepandikizwa kwa wazee wote Tanzania. Ccm haifai hata kwa vichaa
  11. Lamtongi

    GE2010 Igunga: CCM kwisha habari yake

    All the best CDM
  12. Lamtongi

    TBC1 Inaipendelea CHADEMA na Kuihujumu CCM?

    You must be out of your mind!
Back
Top Bottom