CCM na wazee, CHADEMA na vijana

Vijana (chadema) Vs Wazee (ccm) mshindi atajulikana mwana 2015
 
Mkuu, hao ccm magamba yamekamata mpaka ufuhamu,hayo mahesabu yako magamba hawaamini,ndio maana masanduku yenye kura zimesikika ziko kwa mkuu wa wilaya. Kwao rahisi ni kutegemea huruma za wananchi na uchakachuaji.
 
Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya sakata la kukamatwa kwa vijana wa Chadema kutoka Mwanza, Makamba alisema CCM hakina shaka ya ushindi kwani mtaji wake upo kwa makundi ya wanawake na watu wazima... “Wapiga kura wetu ni wale wanaopenda amani ambao ni kina mama na watu wazima, wenzetu wanalijua hilo kuwa nguvu ya CCM iko kwa kina mama na watu wazima
 
Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya sakata la kukamatwa kwa vijana wa Chadema kutoka Mwanza, Makamba alisema CCM hakina shaka ya ushindi kwani mtaji wake upo kwa makundi ya wanawake na watu wazima... "Wapiga kura wetu ni wale wanaopenda amani ambao ni kina mama na watu wazima, wenzetu wanalijua hilo kuwa nguvu ya CCM iko kwa kina mama na watu wazima."

Kama ni hivyo basi haiwezi kuchukua nchi hii hata siku moja, kwa takwimu wanawake ni zaidi ya 58%
 
Na katika hiyo 58 perecent ya wanawake kuna vijana pia, hadi inafika 2015 kitaeleweka tu na tunaendelea ku invest kwa vijana.

Ni vema ikainvest kwa vijana wapenda amani na si ku invest kwa mabaunsa wa Billicanas, Makumbusho ama Maisha Club. CDM ni vema wakajiepusha na fujo. Wanaweza wakachukua nchi lakini kesho yake Ocampo akafika na kuwanyakua kwenda nao huko The Heague.
 
Kimbunga muasisi wa vurugu na mleta vurugu ni CCM.Wakisha tumia mabvu na jeshi la polisi na green guard unategemea nini ? Chadema wakileta vurugu wanazingirwa mara moja na kuwekwa ndani wote mnajua na hilo halipo so again CCM ndiyo mambo yote .
 
Mimi ni mzee, lakini piga ua galagaza hunipeleki ccm maana haiko katika misingi iliyoasisiwa.


Hongera sana mzee wangu! Natamani fikra kama hizi zingepandikizwa kwa wazee wote Tanzania. Ccm haifai hata kwa vichaa
 
Ni nani huyo anayeongea hapa au ni masikio yangu tu??????????????????

Ni vema ikainvest kwa vijana wapenda amani na si ku invest kwa mabaunsa wa Billicanas, Makumbusho ama Maisha Club. CDM ni vema wakajiepusha na fujo. Wanaweza wakachukua nchi lakini kesho yake Ocampo akafika na kuwanyakua kwenda nao huko The Heague.
 
Ni vema ikainvest kwa vijana wapenda amani na si ku invest kwa mabaunsa wa Billicanas, Makumbusho ama Maisha Club. CDM ni vema wakajiepusha na fujo. Wanaweza wakachukua nchi lakini kesho yake Ocampo akafika na kuwanyakua kwenda nao huko The Heague.

..unaweza kuona mabaunsa wa chadema kama chanzo cha fujo, unashindwa kuuona udhalimu wa ccm na dola kukandamiza demokrasia, hao mabaunsa wana-react kwa kile kinachotokea,siasa sio ukipigwa kofi upande wa kulia geuza na upande wa kushoto..ccm si wa kufanyia hivyo NI TIT FOR TAT!!halafu hizo mbinu za kuzusha kui-link chadema na fujo ni za kizamani sana!inasikitisha usalama wa taifa kuja na mbinu mufilisi kama hiyo!
 
Dhana ya kikundi cha kigaidi cha Greenguard na mashaibu yake kwa wananchi tangu kiundwe na kufadhiliwa na serikali dhidi ya sauti pinzani ni NAULI TOSHA kwa baadhi viongozi wa sasa wanaendekeza uhuni huu nchini.

Na huo ndio ukweli wa mambo kwa
GREENGUARD MUNGIKI ndio hivo imekula kwao wategemezi wake; kwa uchaguzi huu wa sasa na zile zitakazofuatia.
 
Ni kwa yanayotokea Igunga,hakika vijana wamevumilia na sasa wameamua kukata shauri la kukiwajibisha CCM na sasa ni wazee tu ndo wanaoonekana wakiwa wanamsikiliza Kafumu huku vijana wakiamsha vidole 2 vya CDM....kwa vile vijana ndo injini na ndo wanamapinduzi popote pale basi CCM waachie tu,waige ya Zambia
Naona siku hizi unaifaigilia CCM kwa bidii sana
 
Naona siku hizi unaifaigilia CCM kwa bidii sana
Mkuu unahitaji kuelewa neno moja tu na kujua kwamba sikuwa napinga tu, nilikuwa nasononeshwa na utawala wa wakati huo lakini nchi yangu ni Tz. Siku mambo yakiwa mazuri siitaji kuikashifu nchi yangu. ...so far, there is no permanent situation

Karibu na wewe tuungane na hawamu hii walau kwa ajiri ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom