Elections 2010 Igunga: CCM kwisha habari yake

Wana-Igunga; hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.

Peeeeopleeeeeees.............
 
CHADEMA mwendo mdundo, CCM hawana lao, kitengo chao cha uchakachuaji hali ni tete maana makamanda wanalinda bila hata kupepesa kope, maana ukipepesa tu kwa jinsi CCM walivyo fasta unashtukia washachakachua. Go CDM go.
 
mwaka huu ndio tunataka kuwapa darasa wazee wa WAPUKI, chama cha wahuni wa kila fani, kuchukua wake za watu, ukabila na mengineo
 
Wakuu,
Achilia mbali mipasho ya wanasiasa, lakini huu ulikuwa ni msimu wa kuvuna kwa wana Igunga, maana pesa iliyomwagika hapo ni nyingi saana, wafanyabiashara wamefaidika saana. Tunakosa tu taasisi za kutufanyia tahmini ni kiasi gani cha fedha kiliingia hapao.
 
CCM mbinu waliobakiza ni kutangaza matokeo ya kuchakachua kisha mabomu ya machozi na maji ya pilipili kufuatia. Wana Igunga kakagueni nyumba ya mkurugenzi wa wilaya kama ina mtu, huenda amekwisha hamisha familia yake.
 
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.

Peeeeopleeeeeees.............

Poooooooweeeeeeer!!!!!!!!!!!!!!! Nasikia harufu ya DAMU IGUNGA. Nahofia yasije tokea ya kule Arusha wakti CDM walipoandamana! Mungu aepushie mbali!

Iwapo Uchaguzi utakuwa HURU NA HAKI basi kama umewahi kusikia CCM kufulia ni hapo kesho 2 Oktoba,2011. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom