Recent content by lamisa

  1. lamisa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kikenya arekodi na kusambaza video mwajiri wake akijaribu kumnyanyasa kingono jikoni huko nchini Saudia (video imeambatanishwa)

    Hapo Abdalah kichwa wazi kanywea kama vile haijakuingiza kwenye matatizo!!!
  2. lamisa

    JamiiForums Tanzania Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

    Ndo maana ya ule usemi wa tufungue kwa Maombi na tufunge kwa Maombi,hivyo MC Washawasha amefunga tena kwa Kulia kama alivyo fungua!
  3. lamisa

    JamiiForums Tanzania Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

    Bora umejionea ukatushauri ila kipindi kile MAPENZI moto usingeweza kuelewa,hao viumbe hawana fourmula Broo na MKE au MPENZI wa mwenzio ndo mzuri!
  4. lamisa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

    UKiona mtu anakwenda kwa Mwamposa ujue kuwa anachangamoto zake,wewe ambae hauna changamoto yoyote ya kiafya wala kiuchumi utawaona wanaokwenda kuwa niwajinga na MUNGU akusimamie mkuu kwa hilo yasikukute!. By theway Nimeipenda T shirt ya mtume Mwamposa.
  5. lamisa

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

    Ningekuwa naangalia tu picha Nzuri zilizopostiwa,yanini nichanganywe na maisha alafu lugha nayo inichanganye!
  6. lamisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na watu

    Wengine kazi Yao ndo majungu ni vigumu kuwabadilisha
  7. lamisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Halo effect(mapenzi upofu)

    Niligundua kuwa ni mchamungu kuliko huyu wangu wa sasa!
  8. lamisa

    JamiiForums Tanzania Ina maana BASATA mnakagua matusi na kuruhusu kupigwa mpaka kwenye Media?

    Kaka mwandiko wako haujatulia kabisa,( kibari) badala ya kibali! Anyways ngoja Basata waje.
  9. lamisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wabaya sana

    Na KANGA ulipeleka kama zawadi,anyway pole sana Dada angu hii ndo Dunia!
  10. lamisa

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfungo vyakula vinapanda bei, biashara ya pombe, kitimoto na gesti ngumu. Hii ina tafsiri gani?

    Hata wakristo wamefunga usije ukasahau mkuu!!
  11. lamisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wiki ya sita sijadindisha, mashine haisimami

    haujatembea na mke wa mtu kweli!
  12. lamisa

    JamiiForums Tanzania Huyu Mayele ndio mnamwita straika jini?

    Au golini kwa wapinzani Kipa hayupo,tunae muona ni Kisiki!
  13. lamisa

    JamiiForums Tanzania Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Jamani ukishakuwa na changamoto ya kiafya ndo utajua,so kwenye tatizo mm sioni sababu ya mtu kutokwenda sehemu ambako anaamini kuwa ndio hatapata suluhisho la tatizo lake pawe Msikitini/Kanisani kwa sababu lengo ni kumuomba MUNGU na yeye kupata UPONYAJI .
  14. lamisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume aliye tayari kwa ndoa anahitajika

    Kuhusu kula ujana inategemea na kipato cha mtu,kama hela zenyewe kazipatia kwenye umri ambayo vigezo vyako inataka sahau kahusu kula ujana,wewe sema kuwa humpate anaye kuheshimu msogeze MAISHA mengine muachie MUNGU!
  15. lamisa

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha 50,000 Tabata

    Kuna chumba na sebule kodi sh.40,000×2,mazingora yapo safi umeme kuna sub meter.
Back
Top Bottom