Jinsi ya kuishi na watu

Jinsi ya kuishi na watu

Usipowasalimia unakuwa umemkosea nani?
Kuna dada alikuwa anaishi mwenyewe chumba cha kupanga kwa style ya udisminder. Yaani yeye ni kutoka asubuhi akirudi jioni ni ndani hana story na mtu hapo kwenye nyumba. Ikitokea wametaka kitu ni ile atatoa kama ni mchango wa takataka ulinzi akigongewa atatoa kisha imeisha hiyo.

Anaweza sikia wenzake nje hapo wanaongea hana habari atashinda ndani kwake kimya. Akitoka anawapita anawasalimia ile ya juu juu halafu ni kapotea.

Kuna siku akawa anaumwa alitumia dawa naona zika mzidi nguvu. Akawa amelala ndani anashindwa hata kunyanyuka tokea mchana wa siku ya jana akalala hivyo hadi asubuhi. Kilichotokea ni alilala hoi kilichomsaidia ni kuna mdada jirani alishtuka kuwa hajamuona kuingia bafuni na kuna maji aliyaweka tokea jana yake mlangoni kwake kama akiwa anajiandaa kwenda bafuni na mlangoni kuna ufunguo una ning'inia.

Akafanya kumgongea na hakusikia sauti ndio kuchungulia akamuona kalala hoi hajiwezi hata kuongea. Akapiga yowe majirani ndio kuja kumpa maziwa, na kumkimbiza hospital akapewa matibabu akapona.

Kutoka akiwa hospital hadi anatoka wale majirani ndio walikuwa msaada mkubwa kumpikia chakula na kumletea hadi ndugu zake walipokuja na kuwapokea hadi akapona.

Tokea hapo ikabidi tu awe anafosi kustory na majirani zake na kuwa nao karibu ila anakiri isingekuwa yule dada wa jirani kuja chumbani na angeendelea kukaa vile japo siku nzima hadi jioni pengine angekata kauli na kuaga dunia kwasababu hakuwa na nguvu haya ya kunyanyua mkono alikuwa amelegea kupita maelezo.
 
Kama haijaandikwa ufe siku Fulani,haiwezi kutokea,hata kama unaishi porini Bado Kuna namna itakuwa kimazingira na wewe uishi.
 
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu

2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao

3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu

4. Kama huna shughuli kaa kwako usipende kutoka kutafuta maneno kwa majirani

5. Acha mazoea na wanawake za watu hapo mtaani au waume za watu

6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako

7. Kama una hasira za haraka sana usipende kujichanganya na watu bila sababu za msingi kaa kwako tu uepuke mengi

8. Acha kabisa kudharau watu according na uchumi wao elimu yao au ukilema wao wa mwili

9. Jifunze sana kutoa kwa wahitaji kuliko kupokea ni baraka sana

10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi.
Umenena mkuu! Karibia 90% ni ya kwangu hayo!
 
Manyanza mbona umeanzisha uzi bila hata salamu??
 
Back
Top Bottom