Recent content by lameck mwangamilo

  1. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Mi nazama chumvini tena bila wasi wasi wowote ule tena napenda hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  2. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

    Yaani mimi Mungu amenijibu mambo mengi sana tukio kubwa kabisa nilizaa na mke wa mtu na jamaa akajua na alipanga kunifanya jambo baya ila nilipiga magoti na kutubu madhambi yangu yote na baada ya siku mbili jamaa akaniambia kanisamehe na mpaka leo mtoto yuko nae Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote, ni sehemu gani unaipenda kwenye mwili wa mwanamke?

    Miguu minene kiasi na mzigo
  4. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa

    Mi nina degree ila sina kazi so inakuwaje?
  5. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

    Hongera sana Ally K
  6. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Heh amekimbia chama cha saccos? Mjanja aisee kule mikopo kujuana Afande
  7. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Fuvu la Goliati lagunduliwa

    Dah hicho kichwa ni noma
  8. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Na tena walikuwa wanatafuta sababu na wameshaipata tayali piga kazi usiangalie nyuma songa mbele.
  9. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Kamanda achana nao hao wabaguzi chama chote wamejaa wao kwa wao tu
  10. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Sina imani kama Chadema ni chama
  11. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Kwani wewe ni nani hasa mpaka uende? Wazazi wako wanakufa njaaa we umekomaa tu dar rudi kawasaidie kwanza.
  12. lameck mwangamilo

    JamiiForums Tanzania Daladala yaua na kuacha wengine majeruhi Kimara Suka

    Dah poleni sana wahanga wa ajali
Back
Top Bottom