Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
Basi lilikuwa linatokea Mbezi kuelekea Ubungo!! Ajali imesababishwa na harakati za dereva kutaka kumkwepa jamaa wa bodaboda. Sina picha ya ajali walio eneo la tukio wataleta picha!!
Wakati mwingine huwa nashangazwa na akili za madereva. hivi kati ya dereva wa bodaboda mmoja na abiria zaidi ya kumi nani afadhali aaa.........siwezi kumalizia sababu ya roho ya ubinadamu. ila kama kuchagua nadhani ningemchagua dereva wa bodaboda ili niokoe majority..sasa imeuwa abiria wa dala dala au dereva wa boda boda?so sad
sasa imeuwa abiria wa dala dala au dereva wa boda boda?so sad
kafa abilia wa daladala na majeruhi na majeruhi ni abilia wa daladala!! Bodaboda kakimbia imeokotwa kofia yake tu.
Wakati mwingine huwa nashangazwa na akili za madereva. hivi kati ya dereva wa bodaboda mmoja na abiria zaidi ya kumi nani afadhali aaa.........siwezi kumalizia sababu ya roho ya ubinadamu. ila kama kuchagua nadhani ningemchagua dereva wa bodaboda ili niokoe majority..