lameck mwangamilo
Member
- Feb 25, 2015
- 13
- 16
Kwani wewe ni nani hasa mpaka uende? Wazazi wako wanakufa njaaa we umekomaa tu dar rudi kawasaidie kwanza.
Umejiandaaje paendelee kuwa kwenu yaani mwisho wa siku huko jimboni kwenu jina lako linaonekane kwenye hati hata ya robo acre na sio kwenye chupa ya soda maana wengi tunapotoka makwetu huko ndio huwa ni jumla na hii ni changamoto kwa wengi alafu mwisho wa siku anarudi kwao kugombea udiwani wakati jina lake halimo hata kwenye register ya mtendaji wa kijijini mbunge wa "nyumbani kwetu"
View attachment 231411
Mkee mkubwa wa Komba Salome katikati na mke mdogo kulia
Unaambiwa uswali kabla hujaswaliwa kwa hiyo Makinda ajiombee msamaha kivyake na amwache Komba akabebe msalaba wake.
Tuache unafiki kama waliouonyesha jana,nyumbani kwa marehemu,inaonyeshwa wake wa marehemu wawili,lakini kwenye wasifu wa Komba inaelezwa ameacha mwanamke mmoja.
Halafu kanisa katoliki likamfanyia ibada kama muumini aliye kwenye ndoa takatifu,siamini kama hawakuwa na taarifa bali umaarufu wa Komba uliwafumba macho.
Makinda kaa pembeni mwache Komba abebe msalaba wake.
wewe ni mpumbavu tu ndo maana akili imejaa kutu hata ikakufanya uandike upuuzi wako ndani ya jf.kwani komba alikuwa rais,kiasi cha kuyafanya hayo usemayo?umeonnyesha ukomavu wako wa kijinga kama unarbuniwa na nyimbo basi ww ni fara.Unasema angeishi nyasa ni nyasa ipi?nyasa ni wilaya ni ina maeneo mengi kwa maana ya,kijiji,kata,kitongoji ni wapi unapoongelea?1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.
1. Ni mtu aliyehamia Dar badala ya kuishi Liuli au hata Nyasa, huku akijua kuwa yeye ni mwakilishi wa wananchi. Tena huko Dar hadi mtaa anaoishi ukapewa jina lake kwa umaarufu wake.
3. Ni mtu aliyetaka kulitumbukiza taifa ktk machafuko kwa kauli yake ya kuwa iwapo rasimu ya katiba ya jaji warioba ingepita "angeingia msituni kupigana".
4. Ni mtu ambaye hakupenda demokrasia hata kidogo na alitusi mara kadhaa vyama visivyo madarakani na kutoa lugha ya kejeli.
5. Ni mtu aliyemtukana sana jaji Warioba kuliko watu wote nchi hii. Alitoa matusi, kejeli na dharau dhidi ya jaji Warioba huku akiwa anajua/hajui kuwa mzee Warioba alikuwa "mjumbe" tu wa kile walichosema watanzania.
6. Mwanae Komba, Fred alijiunga na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) punde tu alipomaliza kuchukua shahada yake pale SAUT na akamwelezea tabia ya baba yake kuwa ni "MBAYA" na miongoni mwa watu walioichukia demokrasia ni huyu marehemu
kwa lipi nipange safari kwenda nyumbani kumzika huyu jamaa? Sina wivu wala inda kwa ndugu yangu, mbunge wangu wa kule nyumbani wala chuki nae. "Ila ukweli hastahili kupata pole ya kifo wala faraja ya kifo kutoka kwa wazalendo na wapinga ukoloni weusi"
Shukrani a. Ngonyani
Machi 03, 2015
Dar Es Salaam
Ngonyani@naij.com/sirngonyani@gmail.com
+255 784 37 97 99
babako hajaifikisha nnchi hapa.....
Mama Makinda amemuombea MSAMAHA JANA.
ni mbunge wa "nyumbani kwetu"
1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.