Recent content by Lameck Masanja

  1. Lameck Masanja

    Ndugu zangu Wakiristo semeni ukweli kama Yesu ni Mungu imekuaje amekufa kwa kuangikwa msalabani? Alipokufa nani alikuwa Mungu? Nani aliyemfufu?

    Wakati mwingine kutafsiri lugha moja kwenda nyingine, kunaweza kukaleta maneno ambayo yanaweza yasieleweke kwa urahisi. Kwa mfano kitafsiri biblia toka Kigiriki, Kilatini na Kiebrania kwenda kiingereza, au hata Kiswahili sio kazi rahisi. Mtoa mada, ana swali la msingi sana ambalo hata hivyo yeye...
  2. Lameck Masanja

    INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Kiongozi naomba unisaidie jambo moja kabla sijafanya maamuzi kuhusu hii jbl. Nitafahamu vipi kuwa ni og?
  3. Lameck Masanja

    Biblical Interpretation: Shetani siyo Lucifer, Lucifer ni Yesu (King James Isaiah 14:12 and Revelation 22:16)

    Yawezekana kabisa jina hilo lucifer hutumika kulingana na eneo, tamaduni, kazi na muktadha. Kwa Wakristo Wakatoliki, wakati wa mkesha wa Pasaka, wana kitu wanaita 'Mbiu ya Pasaka' kwa Kilatini Praeconium Paschale- 'Exultet'. Katika mbiu hii, kuna maneno ya Kilatini yanasomeka hivi; 'Flammas eius...
  4. Lameck Masanja

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Nafuatilia kwa ukaribu sana. Elimu kubwa sana hii.
  5. Lameck Masanja

    Mizimu

    Mimi napata sana shida ya kifikra kuhusu mizimu. Najiuliza, mizimu inapata wapi nguvu ya kutenda? Kama wanaipata toka kwa Mungu huyu wa Biblia, kwa nini Mungu huyohuyo hapendi ibada za mizimu? Rejea Hesabu 25, utaona jinsi Waizraeli walioshiriki ibada ya matambiko/sadaka za miungu huko Shitimu...
  6. Lameck Masanja

    Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Ufafanuzi:- 1. Waafrika waliamini katika Mungu mmoja au kila kabila/ukoo ulikuwa na Mungu wake? Kama Mungu wao alikuwa mmoja kwa Afrika yote, aliitwaje? 2. Waliamini mizimu inakaa katika miti mikubwa kwa mfano, sasa hapo ukaribu na huyo Mungu ukoje? Yaani wao wakiwa katika miti mikubwa, au...
  7. Lameck Masanja

    Kundi maalumu la huduma bure kwa wazee kupatiwa tiba Hospitali za Serikali ni tofauti na hali halisi huko Hospitalini

    Sera ya Taifa ya Afya ya mwaka 2007, ukurasa wa 29, kipengele 1.1.1.3 (a) kinataja makundi yanayotakiwa kupata msamaha wa gharama za matibabu. Kwa upande wa wazee, Sera imesema ni wazee wasio na uwezo wa kipato. Sasa ishu ni unajuaje hana uwezo wa kipato? Maeneo mengi wameweka utaratibu wa...
  8. Lameck Masanja

    Michael Jackson

    Mimi nazikubali ngoma zote za huyu legend hadi alizoshirikishwa. Ila hizi nne Money, We have had enough, This time around na Slave to the rhythm napenda sana kuzirudia kusikiliza.
  9. Lameck Masanja

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna bongo fleva moja ya miaka ya 2000. Nadhani wimbo ameshirikishwa Pigy Black. Maneno yanasema hivi "Ee kuna mambo mengi ni nimekufanyia wee mpenzi wangu. Lakini kuna kitu ki moja nimesahau kukueleza" Halafu pigy black anasema "kila kukicha bebi we uko bize...haaaya kama hutaki techeze basi...
  10. Lameck Masanja

    Kijiji kilichojengwa enzi za Dola ya Roma kipo nchini Italia

    Miaka hiyo tuseme ukoloni ulikuwa haujafika kwetu. Nyakati hizo hapa kwetu tulishakuwa tumefika viwango hivyo? Huwa nawaza hawa jamaa wametuzidi wapi?
  11. Lameck Masanja

    Mjue Mungu wa Freemasonry

    Daaaah. Nimepata shida sana ya kifikra hapo Ialdabaoth alipomlaani nyoka pale Eden. Kimsingi alimlaani mama yake, na mpaka leo laana ile inaishi kwa sababu mama yake hadi leo anatembelea tumbo na kula mavumbi. So sad Lakini pia Ialdabaoth aliweka uadui kati ya nyoka na Eva. Kwa sababu Eva ni...
  12. Lameck Masanja

    Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaahhhh. Nimecheka balaaa, khaaaaaa
  13. Lameck Masanja

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Natafuta kioo (display) ya LG TV Model: LG 50LB580V - ZM Length : 126 cm (50) Display Type: LED Resolution : 1920 x 1080
Back
Top Bottom