Recent content by Laliga

  1. Laliga

    JamiiForums Tanzania Usumbufu na ubabe Chuo Kikuu Mzumbe

    tusaidiane kufikisha ujumbe kwa wahusika wakuu kama inawezekana hali ni mbaya
  2. Laliga

    JamiiForums Tanzania Usumbufu na ubabe Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari zenu wakuu, Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi wa chuo naona umechoka na wanafanya kazi kwa mazoea na ubabe mkubwa. Kwa mfano, sasa hivi wamegoma...
  3. Laliga

    JamiiForums Tanzania Corona kusababisha kafara la nchi?

    Nadhani serikali inatakiwa kuhakikisha inagharamia mahitaji yao yote kwa ukaribu zaidi wakiwa huko walipo sasahivi, na kama pameonekana ni mahali salama wao waachwe tu huko huko maana ikitokea wamekuja nchini wakiwa wameathiriwa na virusi itakua hatari zaidi. Nchi bado inapambana na malaria...
  4. Laliga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watani zetu Tanzania hata kwa msiba mnabana matumizi, hamjaja tumuage Moi

    Saivi tumeanza kuwapeleka shule kwa lazima maana tulikuja kugundua kwamba ukosefu wa elimu ndio unawafanya wanakua wehu, na wakileta ujinga wa kuvaa mabomu dawa yaohua ni kuozea jela tu mkuu
  5. Laliga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watani zetu Tanzania hata kwa msiba mnabana matumizi, hamjaja tumuage Moi

    Vipi lakini usalama ukoje hapo mkuu? Wale jamaa walichaniwa kitabu na yule ofisa wa Morogoro mmemalizana nao?
  6. Laliga

    JamiiForums Tanzania Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

    Akianza kubana chocho apige watu ngeta utaanza tena ooh wasanii wa bongo maskini bla bla blah hawana pesa maringo sijui ujuaji. Wakimtafuna atajua mwenyewe acha apambanie ugali wake vyovyote anavyoona inamfaa
  7. Laliga

    JamiiForums Tanzania Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

    Naona umeamua kujilipua
  8. Laliga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya anyukwa viboko na mchina

    H ahahah njaa ni adui wa haki.
  9. Laliga

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Kwenye ile video yule jamaa alikua anasema eti anakiona kile kitabu kama ma.vi tu
  10. Laliga

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    huyo aliye chaniwa kajitabu kake si anunuliwe kengine kesi iishe? mambo mengine yanapoteza muda tu kuyajadili
  11. Laliga

    JamiiForums Tanzania Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    wale magaidi wafie tu hukohuko
  12. Laliga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Coronavirus inasemekana hadi leo hii umeua watu zaidi ya 50,000, lakini serikali ya China inaficha na kutaja idadi ndogo ya wagonjwa 700

    CCM wajiandae mapema kukabiliana na hii hatari ikiingia nchini, sio kupiga umbea wa kijinga jinga tu vitu vya msing hawafanyi.
  13. Laliga

    JamiiForums Tanzania Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu

    Hicho kichwa chako update "anti_virus "
  14. Laliga

    JamiiForums Tanzania Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu

    Wewe ni mtu wa ajabu sana
  15. Laliga

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyefanya ziara

    Tulia wewe kijana, utamnyoosha nani wewe? Hii ni nchi sio genge la wahuni watukana matusi. Omba omba akitua Bongo ana kesi ya kujibu msaliti mkubwa
Back
Top Bottom