Watani zetu Tanzania hata kwa msiba mnabana matumizi, hamjaja tumuage Moi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,385
Naangalia kwenye hii orodha ya majina ya marais waliohudhuria, mbona sioni jina la mkulu wa Tanzania ambao ni majirani kabisa tunaochangia lugha moja na baadhi ya makabila na jamii.

=====

Here are the presidents that came to see Moi off

The Interior Ministry previously revealed that at least 10 Heads of State are expected to attend the burial of former President Daniel arap Moi at his Kabarak home on Wednesday.

Ahead of the national funeral service held Tuesday at Nyayo Stadium, officials remained tight-lipped about which presidents would be present at the event that will be open to all Kenyans.

Here are the presidents confirmed to be in attendance at Nyayo Stadium for Moi's national funeral service:

1. Uganda's President Yoweri Museveni
2. Rwanda's President Paul Kagame
3. Djibouti's President Ismail Omar Guelleh
4. An Ethiopian delegation led by President of the Federal Democratic Republic of Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
5. DR Congo has sent its Foreign Affairs Minister on behalf of President Félix Tshishekedi
6. Delegation from the Sahrawi Arab Democratic Republic

Source: Daily Nation
 
Vipi lakini usalama ukoje hapo mkuu? Wale jamaa walichaniwa kitabu na yule ofisa wa Morogoro mmemalizana nao?
 
Vipi lakini usalama ukoje hapo mkuu? Wale jamaa walichaniwa kitabu na yule ofisa wa Morogoro mmemalizana nao?

Hehehe!! Halafu mumeingiwa na nini, nimesoma tena Tanga huko kuna mwingine kachana hicho kitabu, hamuoni kunajinsi mnakorogwa, maana wavaa kobaz hawajawahi kuwa na ugomvi na nyie, lakini kwa hili la kuchana vitabu vyao wataanza kuwawaza, na ikumbukwe kwenu huko wamesaili maelfu ya vijana, mjitafakari sana kujua wapi linatibukia na nini kipo nyuma ya pazia.
 
Ina maana maagizo ya mganga? Kwamba mwaka wa uchaguzi hakuna kutoka nje msije mkachakachua dozi yake?
Tumefiwa na watu takribani 40 ktk matukio tofauti ndo kwanza mnalanda kwa Trump!!
Kuna wawakilishi watakuja
 
Acha uzushi na uongo TZ yetu itawakilishwa na Maraisi wetu wawili!

Uwongo kivipi, nimesoma kwenye list ya marais ambao wamefika sijaona wa kwenu, poa kama mtatuma hata hao waliostaafu maana mwenda zake naye alikua mstaafu.
 
Mzee anabana matumizi ili apate hela za kupaka ndege rangi upya na kufuta michoro ya twiga ndio amkanganye mkulima. :D
 
Hehehe!! Halafu mumeingiwa na nini, nimesoma tena Tanga huko kuna mwingine kachana hicho kitabu, hamuoni kunajinsi mnakorogwa, maana wavaa kobaz hawajawahi kuwa na ugomvi na nyie, lakini kwa hili la kuchana vitabu vyao wataanza kuwawaza, na ikumbukwe kwenu huko wamesaili maelfu ya vijana, mjitafakari sana kujua wapi linatibukia na nini kipo nyuma ya pazia.
mmmmmmmmmmmmmh!
 
Wazee wa zamani walikua na akili sana,hilo neno MAKUBAZI hebu lisome kuanzia mwisho kwenda mwanzo.

dodge
 
Back
Top Bottom