MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,654
- 13,842
Mark my words
Siku maadui zake wakiisha, ataanza kula marafiki.

Wakili mzima anatiaje aibu hivyo? Walisema bunge ni dhaifu sasa wacha sheria ishike mkondo wake ili udhaifu ukwisheeeSoma post #5 amekujibu vizuri sana
Kama walivyo wanaccm wenzako unajirusha fahamu ila iko siku itarejeawala sijakuelewa unamaanisha nini
Surface argumentsKwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Tunaunga mkono juhudi za Nassari.Makamanda mnazidi kupukutika.
Taja vifungu vya sheria sio unaitajataja tu neno sheria, haijulikani ni sheria, kanuni ipi ama utaratibu upi? labda unazungumzia sheria ya ndoa na mirathi? Hatukuelewi ujue...Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Tulia wewe kijana, utamnyoosha nani wewe? Hii ni nchi sio genge la wahuni watukana matusi. Omba omba akitua Bongo ana kesi ya kujibu msaliti mkubwaAlikutaarifu kuwa anafanya zuara unajua maana ya neno ziara au unasukumwa na ushoga mlionao hapo ccm pamoja na mapunga wenzio mliopo hapo ccm. Subirin tuwanyooshe na mtanyooka tu.
Haya yote sawa,je nini kilimzuia kujanza fomu ya tamko la mali?Hivi kusema watu wanatekwa ni kashfa wakati ni ukweli? Wanashambuliwa ni kukashifu nchi wakati yeye mwili mzima umecharazwa mikasi? Ulitaka akamsifie jiwe?
Kwa vile yuko hospitali na Mali ziko nyumbani Tanzania. Hawezi kujaza Mali na madeni kwa kuambiwa na familia. Ujue fomu hizo ni kiapo (affidavit) lazima ujaze ukweli unaoujuaHaya yote sawa,je nini kilimzuia kujanza fomu ya tamko la mali?
Mimi siungi mkono alichokifanya kwa ubinadamu lakini nikija kwa ulichokisema hapa unadanganya maana ile ilikua ni ziara ambayo walioitayarisa walimshauri vibaya Lissu. Kama mambo yangeenda kama walivyotarajia ilitakiwa iwe ziara ya mafanikio lakini nijuavyo haikua ya mafanikio. Hivyo ulichokisema ni uongo Lissu hakualikwa ila alidanganywa na baadhi ya rafiki zake ama viongozi wake. Alitakiwa kutumia akili. Lissu atambue kuwa hapigwi vita na CCM tu bali hata huko upinzani ni tishio hivyo walimtengenezea mazingira ambayo yalishusha (polls) ambazo zilikua juu kabla ya ziara.
hili liwe fundisho kwa baadhi ya wapinzani kujitahidi kuwa out smart ccm na serikali yao ama sivyo hawatawaweza katu.
Pole sana mheshimiwa Lissu
Hopeless argument to come from only a very hopeless mind.Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Yana mwisho. We chekelea tu.Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Ujinga ni majaliwa na wewe mmejaliwa nao.Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Jamaa limbukeni sana. Alifikiri akimtuhumu rais kuwa hajui Kiingereza basi ndio wazungu watamuona wamaana sana. Ona sasa anavyotapatapa na hicho kizungu chake cha kuombea maji....Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Kuna tatizo mahala fulani... wagonjwa huwa tunaona wagonjwa wamefanyiwa upasuaji hata kwenye hospitali zetu wakifanya mazoezi.... (ya kimwili na kujiweka sawa kiakili) labda kwa sababu TL amekwenda kufanya mazoezi mbali kuliko wauwaji walivyotarajia.... labda kwa sababu TL ametibiwa hospitali bora kuliko zi apollo ambazo huaminiwa na malofa...
Ukweli huwa haujifichi: ROHO MBAYA, CHUKI, CHOYO, UHASIDI, FITNA NA KUJIPENDEKEZA ILI MATUMBO YAJAE HAVITATUFIKISHA KOKOTE.
KUCHE KUSIKUCHE TUNATENGENEZA TAIFA LA OVYO LITAKALOKUWA NA WATU WA OVYO
TAIFA AMBALO WANAOONEKANA WAOGA LEO WATAKUWA WAOVU KESHO.
TAIFA AMBALO WAZAZI WANACHEKA LEO KWA SABABU WANA RAHA NA FURAHA WANA WAO WATALIA NA KUSAGA MENO MAANA WANAOWALISHA LEO HAWATAISHI MILELE!
KUNA KILA DALILI VISASI VINGI TUTAVIONA HUKO MBELE YA SAFARI TUOMBE UZIMA TU!
Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Jamaa limbukeni sana. Alifikiri akimtuhumu rais kuwa hajui Kiingereza basi ndio wazungu watamuona wamaana sana. Ona sasa anyotaptapa na hicho kizungu chake cha kuombea maji.
hiyo siyo point yaani mtu anafanya ziara na kuongea uozo wake huko na kuikashfu nchiyake mwenyewe halafu mnasema hawezi kutoa hata taarifa zake mwenyewe bungeni ? huo ni ujinga kama aliofanya mbowe akafutiwa zamana akasota gerezani sijui mshauri wao huwa ni shetani gani