Nimekutana na hii ripoti ya world bank sijui kama mwakyembe anayo, naomba mtu mwenye contacts zake am-fowardie ili afanyie kazi sehemu zenye udhaifu zilizo wazi kuziona.
pia mimi nina swali la kizushi kwako mh.Mwakyembe, kwanini bandari ya Tanga isifufuliwe ikafanya kazi kama zamani?, kwanini...