Naomba uwe makini kusoma haya majina😆
1.Padri ,aliesoma mzumbe akawa mwambata Rwanda now yupo ngorongoro
2.Askofu Mara yupo Nida Mara bank kuu
3.Police alafu diwani alafu anazuia Rushwa
4. Musowero
Mpaka anaamua kuongea keshajiandaa kukabiliana na wahuni , inawezekana ujumbe umetumwa akiwa Tayar yupo eneo salama na keshahakikishiwa kuwa humo wahuni hawawezi kumfikia.
Japo kwa namna alivyo naweza kuamini kuwa wale wahuni 4 yule mtawala wa kata, Askofu, Padri na shekhe Kuna mawasiliano...

Swali limeulizwa kiufundi Sana lakini pia Lina ujumbe, kiufupi ujumbe wako umefika mkuu tutapunguza mbwembwe zisizo na maana lakini pia tutajitahidi kutenda haki na kutumia akili Zaid na sio nguvu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.