Recent content by laki si pesa.

  1. L

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

    yaani katika mziki nisioupenda ni bongo fleva..bangi bangi tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    fanya forex
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujiingiza kwenye Vicoba ni Kuua Uchumi wa Wananchi wa Hali ya Chini

    Tuwekee hizo sheria za vicoba zilizowekwa na serikali tuzione
  4. L

    JamiiForums Tanzania Need to launch complaint against GSM GROUP

    ...hebu muacheni aeleze masahibu yaliyomkuta..usimuhukumu kwa makosa ya wahindi wenzake hio sio sawa....Suala la ajira ni maamuzi ya mwenye kampuni aajiri mtu wa namna gani...Na wewe fungua kampuni yako uajiri waafrika wenzako hakuna atakaekuuliza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

    mechi mbili barcelona goli zero...juve goli tatu... Basi juve wana bahati sana....
  6. L

    JamiiForums Tanzania Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

    mkuu, hebu nikumbushe mwaka jana juve na barca walivyokutana UEFA ... Barcelona alishinda goli ngapi..nimesahau kidogo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Aliyejiuzulu ubunge CUF, Abdalah Mtolea, aomba kujiunga CCM

    anaomba kujiunga ccm huku tayari kashavaa nguo za ccm.....hiii kali sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Mchechu wa NHC, kasi yake Usipime..

    hizo nyumba ilikuwa ni mipango ya Mchechu,....
  9. L

    JamiiForums Tanzania Yanga itaongozwa na wana Yanga wenyewe na sio watu wa kuchaguliwa.... Stay Tuned

    Huyu mwakyembe, saria wanaivuruga Yanga makusudi... Wana Yanga tunamtaka Manji
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

    Mimi mbona hoteli yangu ina wageni wa kutosha, iko full booked mpaka mwakani
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa eneo la kufanyia biashara jamani

    Kwa mtaji huo, huna haja ya kutafuta eneo là biashara, we nunua bidhaa kama nguo, urembo, mwaga barabaran siku hizi machinga wameruhusiwa.....au fanya biashara ya kuuza kahawa inalipa sana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ya kweli hii?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

    kama morali inasaidia timu zote zinazocheza uwanja wa nyumbani zingekuwa zinashinda maana zinach3za mbele ya mashabiki ,viongozi wao...kama hujui hujui tu hayo mambo ya morali ni uongo mtupu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Anapigiwa salute juu ya Korosho ndani ya Fly Emirates(Special Display)

    uko buguruni kwa mnyamani, unadai uko thailand,...emirates ndani haiko hivyo
  15. L

    JamiiForums Tanzania Claudio Ranieri arejea EPL

    ranieri hana lolote atawashusha daraja
Back
Top Bottom