Claudio Ranieri arejea EPL

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,562
217,879
Timu ya Fulham inayoburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya England imemtimua kocha wake Slavisa Jokanovic baada ya kuambulia pointi 5 tu katika mechi 12 , nafasi yake imechukuliwa na Mkongwe Cloudio Ranieri .

Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Slavisa Jokanovic was Claudio Ranieri's first signing as Chelsea Manager in october 2000
 
Fulham wanakakikosi kazuri kila eneo huwezi kuwa na Jean Marc Serri, schulle, sesegnon, na vipaji vingine then uwe namba 20.... Anachonifurahishaga Ranieri, The man anajua mno kusajili bila kutumia pesa ndefu sana
 
Ile Fulham wafanyekazi kabaki EPl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom