Wakuu wote (Kubota, Mama-Timmy, Mama-Joe, Asigwa, LiverpoolFC, Guta, n.k, n.k, n.k); Jamani Mwenyezi Mungu awabariki sana sana sana. Wajasiriamali tunaelimika sana.
Mie nilitaka nikasome certificate ya vet ili niweze kufuga kuku wa asili/kienyeji vizuri, lakini kwa kusoma uzi huu, pamoja na...