Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.
Na kuna mwingine aanatamka hadharani kuwa alipotaka kuoa alikutana na mwanamke hana mvuto.akamwambia " labda huyo mwanamke amtolee mahali lakini ndipo angeweza muoa"
Ninawasiwasi na hawa watu tulio watuma mjengoni.
Huyu ndiye muwakilishi wa watu wote anaanza kutoa maneno ya kashfa kwa watu.
Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.
Huyu ni mbunge wa kutangatanga asiye na msimamo na ndiyo maana anaropoka tu. Watu kama hawa ni hatari sana na hili liwe fundisho kwa CDM siku za usoni kwamba sio kupokea tu watu wanaohamia kutoka vyama vingine hasa CCM. Huyu ni pandikizi la CCM na aliyoyatamka ametumwa na mabwana zake. Haiingii akilini wakati wenzake wanawaonea watanzania wenzao huruma kwa kuchukua malipo mara mbili kwa kazi moja jambo ambalo limewekwa wazi halafu yeye anakuwa kinyume na wenzake na kuungana na mafisadi. Pumba tupu pumba tupu. Hawa wabunge wa CCM tunajua hawana jipya na katika kitu kinachoitwa fedha huwezi kuwabadili kwa sababu ndipo akili zao zilipo. Tegemeo letu sasa linabaki kwa hawa wapinzani hasa hawa wanaojaribu kuikwamua nchi hii lakini kuna wrong people ambao wameingia kwenye upinzani lakini kwa kazi maalum na huyu ni mmoja wao. Wako wengi hata hivyo sio huyo tu. Wako akina AM, JC, na wengineo. Ila nawahurumia hawa wa chama kingine hiki!!! hizi ndoa hizi jamani chungeni sana kufunga ndoa haraka haraka. Mnaona sasa matokeo yake??? Kwiiiiiisha wamebakia pumba pumba pumba tu
Wabunge wetu!
kuna mbunge amependekeza POSHO YA WA BUNGE IBADILISHIWE JINA NA IONGEZWE
Kwani yeye anaona neno posho ndio tatizo.
Hivi CDM wakiamua kumfukuza kuna shida gani? Najua hawezi hata kurudi alikotoka na huo utakuwa ndio mwisho wake!
Pandikizi analindwa na nguvu za magamba.
Hana jipya kabisa zaidi ya kuimba wimbo wa magamba