Recent content by lacuna

  1. lacuna

    Umaarufu wa CDM wapungua

    Toka kuanzishwa kwa utaratibu wa kutoonyesha bunge live,nimegundua kuwa umaarufu wa wabunge wa CDM umepungua kwa kiasi kikubwa!wabunge hao walishazoea kubwabwaja ndani ya Tv na hivyo kujizolea umaarufu kwa vijana wengi wa mtaani wasio na shughuli za kufanya!Hali inawafanya wabunge hao kuangaika...
  2. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Wtz inabidi tuamke kwakweli,mambo kama haya yapo maeneo mengi sana,watu wanaishi kwa njia za kitapeli huku watapeliwa wakikaa kimya na kuhofia hata kuhoji,haiwekani mtu anafanya harambee alaf hasemi kiasi,leo mnatetea kwamba twende ofisi au kupiga simu,kwanin hiyo harambee asingewaambia watu...
  3. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Hakuna uwazi juu ya harambee ile,kiasi gani kilipatikana(jumla),na matumizi yalikuwaje!Inaniuma sana walahi[emoji24][emoji24]
  4. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Lengo ni tueleweshane,ili kesho na keshokutwa tusije pigwa changa la macho kama hili,ebu angalia maisha ya huyo aliokuchangisha na yetu,hana hata huruma?
  5. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Daahh,kweli mjini mipango ina maana zimelowa tu hivi hivii bureee
  6. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Anaejua atufafanulie pliizi,kama ni ujinga,tunakubali yashapita yale!hapa tunajiaandaa kutokuwa wajinga tenaa
  7. lacuna

    Video: Mange Kimambi anasema uhuru wetu ni muhimu sana kuliko mabilioni anayookoa Magufuli

    Yule,aliipigia debe CCM akajua atapewa uheshimiwa,kaona mwenzake polepole kapata na siku zinazidi kwenda ye kimya,kaamua kugeuka sasa!
  8. lacuna

    Hivi pesa alizochangisha Mbowe zilienda wapi?

    Nabaki kujiuliza sisi watz tuliokuwa wajinga kipindi cha uchaguzi 2015,akili zetu zilishikwa ama vipi,maana naona watanzania wenzangu wengi tulikuwa kama fata upepo tu hawa kwa huu umoja wa ukawa,mbowe kaandaa harambee tumetoa hela kibao,hatujui hata jumla ilikuwa ngapi na zilitumika...
  9. lacuna

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Wanakataa kuitwa mababyy,mbona mtaan wanakubaliii
  10. lacuna

    Simba itaimarika lini? Leo Kessy anatinga uzi wa Yanga

    Kesi ndo kuimarika kwa simba kwani??mbona alikuwa simba na bado haikuimarika
  11. lacuna

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Ungetaka kuona kama kweli wanaumia na hilo,au kutafuta kiki!basi leo bungeni kungekuwa kunatolewa hela za posho,ungeona kama kweli walikuwa na uchungu wa kuambiwa hivyo na wangelitoka
  12. lacuna

  13. lacuna

    Wilson Kabwe amewahiwa asife "nyamafu"

    Nani mjanja sasa hapo??
Back
Top Bottom