lacuna
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 654
- 168
Toka kuanzishwa kwa utaratibu wa kutoonyesha bunge live,nimegundua kuwa umaarufu wa wabunge wa CDM umepungua kwa kiasi kikubwa!wabunge hao walishazoea kubwabwaja ndani ya Tv na hivyo kujizolea umaarufu kwa vijana wengi wa mtaani wasio na shughuli za kufanya!Hali inawafanya wabunge hao kuangaika huku na huku wakitaka bunge lionueshwe ili waweze kuuza vizuri sura kideoni na kuja tetea ulaji/maslahi yao binafsi mwaka wa uchaguzi 2020!Ni ushauri wangu tu,wabunge hawa wanaweza kufnya mambo makubwa katk majimbo yao ya kimaendeleo na hivyo kuwa maarufu zaid ya wanayotaka kupitia Bunge live!Amkeni jamni