makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
Kuna Wabunge kule Bungeni hasa kutoka CCM ambao kwa kiswahili sanifu tunaweza kuwaita ni MAJUHA! Baba wa Taifa(RIP) alikuwa akisema, ninanukuu "MTU AKIKUAMBIA JAMBO LA KIPUMBAVU NA WEWE UKALIKUBALI ATAKUDHARAU".
Alichosema Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu ni jana ni ukweli, tena ukweli mtupu usio tiliwa shaka yoyote. Kwa maana ingine Makamu wa Rais Bi Samia AMEIDHARAU Mibunge yote ya CCM midume na mijike ambayo inaambiwa mambo ya kipumbavu na hasa na Wana-CCM wenzao inakubali na kwenda kubwabwaja mipasho,vijembe na taarabu kwa Wabunge wa upinzani badala ya kujenga hoja makini za kumsaidia Rais wao JPM.
Napendekeza huyu Mbunge wa Ulanga sitamwita Mheshimiwa baali Bwana Goodluck Mlinga na Naibu wa Spika Bi Tulia wachukuliwe hatua na Bunge mara moja kwa kukiuka taratibu na Kanuni za Bunge kwa kuruhusu matamshi ya kuudhi dhidi ya Wabunge Wanawake wa UKAWA kwa kuwatukana kuwa wako pale Bungeni kwasababu ya kuitwa BABY. Kwamba mpaka wagawe uroda kwa viongozi wao wa vyama ndipo wapendekezwe kuwa Wabunge wa Viti maalumu!!!
Swali ni Je, huyu Mbunge Bwana Mlinga, pamoja na kupigiwa KURA na wananchi na yeye aligawa uroda kwa nani ili ateuliwe kugombea Ubunge wa Ulanga Mashariki? Maana siku hizi kuna ndoa za jinsia moja yaani Mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke. Nataka huyu Bwana Mlinga aulizwe kama na yeye ameingia kwa mtindo huo. Misahafu inasema akinenacho mtu mdomoni ndiyo kimeujaza moyo wake.
Huyu Bwana Goodluck anatakiwa aulizwe kama ana ushahidi aulete Bungeni na athitishe mbele ya Bunge na Watanzania wote kwa ujumla kwamba wote wanaoteuliwa Ubunge au kupitia Viti Maalumu huwa wanagawa uroda akiwemo yeye na Naibu wa Spika Bi Tulia Ackson ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa na Rais. Nataka Wabunge wahoji kama Bi TULIA na yeye aliteuliwa na Mhe. JPM kwa kuitwa Baby??
Kama Bunge litaendelea kunyamazia jambo hili basi ni afadhali JPM avunje Bunge na Uchaguzi uitishwe upya!