Siasa za Tanzania za kipuuzi sana. Mtu anaiba milioni 48 kwa mwezi unataka aendelee kuachwa hadi "chama chako kimtumbue mpate sifa nyie"
Tuache siasa za hivyo maendeleo na ufisadi havina chama akikamatwa fisadi atumbuliwe hapo hapo ikibidi live kama leo. Wananchi tulio wengi tumefurahi
Una mtindio wa ubongo wewe!Muogopeni Mungu!!!Rais ni mwajiri nambari moja hapa Tanzania.Mwajiri nambari moja hawezi kupewa mashtaka katika kadamnasi na akayaamini na kuchukua hatua,hilo ni kosa.Makonda ametafuta umaarufu ambao dhamira itamsuta mpaka kuingia kaburini.Waziri wa Tamisemi yupo kwa nini lisipelekwe kwake?
Kabwe ana shida nyingi mnolakini haya tunayoyaona tutakuja kukumbuka.Tunafurahia binadamu mwingine akiadhiriwa mbele ya kadamsi na tunashangilia,mmmh.Watanzani
Kiongozi toka Magufuli amechaguliwa hajafikisha miezi sita, sio rahisi kuyafikia majipu yote. Ndio hivyo anayafikia mdogo mdogo, wewe timiza wajibu wako na mpe ushirikianoSerikali ya CCM ilikuwa wapi kutoyaona na kuyajua haya hadi UKAWA wasike jiji ndio waweweseke!!! There is something behind the seen kweli kabisa mtoa mada.
Asanteee.Mwenye mtindio wa ubongo anayeweza kujiunga JF na ku post hundreds of posts.Asante sana.Una mtindio wa ubongo wewe!
100's of posts is not the issue! Swala ni za content, quality na credibility gani?!; the issue is not about Quantity BUT Quality of content; Period.Asanteee.Mwenye mtindio wa ubongo anayeweza kujiunga JF na ku post hundreds of posts.Asante sana.
...Yaani! Serengeti za Kiki...Kwa hiyo ulikua unataka kick kupitia wilson Kabwe?
.....Na kupata LIKES 40+....Asanteee.Mwenye mtindio wa ubongo anayeweza kujiunga JF na ku post hundreds of posts.Asante sana.
.....Na ikiwezekana LITUMBULIWE pale pale Nyerere Briji...tunataka na jipu la Lugumi nalo litumbuliwe kama la Kabwe
HAPO MDOGO MTU, KAKA, NA BABA WOTE NI WAMOJA; NA ADUI YAO NI MMOJA: SIMBA. HAPA KWA KABWE PAKO TOFAUTI. WEWE UNATHUBUTU KUFANANISHA UKAWA NA SERIKALI YA CCM (MDOGO MTU, KAKA, NA BABA). CCM NDIYO KITU KIMOJA NA WILSON KABWE,( MDOGO MTU, KAKA, NA BABA) YAANI WOTE KABWE NA CCM NI MAFISADI PACHA. KWA HIYO HAPO SIMBA BABA (CCM) KAMUUA SIMBA MTOTO (KABWE) ILI KULINDA SWALA (MZOGA) WAKE.Uko msituni simba anamjeruhi mdogo wako..baba anakuja anafanikiwa kumkata kichwa simba,kaka mtu unalalama kwanini baba kafanya vile angeacha nimkate mimi ili nionekane shujaa!!!
Alichofanya Magufuli ni sawa na inayoitwa pre-emptive strike kuepusha kasheshe ambayo ingefuatia baada ya muda si mrefu. Hapa ni kama kaitupia CCM kipande cha kanga iweze kujisetiri iwapo itavuliwa nguo kwani kuchutama peke yake hakutoshi!Kwa hiyo, ulitaka wamwache mpaka UKAWA ndio waje wamtumbue ndio ufurahi? Na bado, maana watanzania walio wengi hawawaelewi unajua.
Kwani kaanza huo wizi jana? Laiti ungejua hizo hela zilikuwa zinapelekwa wapi na kutumiwa na nani kwa shughuli zipi, mbona ungezimia? Kumbuka Magufuli alikuwa sehemu ya huo utawala wakati wote huo wizi unafanyika.Siasa za Tanzania za kipuuzi sana. Mtu anaiba milioni 48 kwa mwezi unataka aendelee kuachwa hadi "chama chako kimtumbue mpate sifa nyie"
Kick ya nini tena? Huijui Dar! Wananchi wa jiji hili walishaamua siku nyingi kuachana na hilo genge la wezi. Wewe unadhani kwa nini uchaguzi wa Meya ulikuwa unapigwa dana dana? CCM walikuwa wanajipanga namna na kuficha maovu yao.Kwa hiyo ulikua unataka kick kupitia wilson Kabwe?
Kwa CCM kila kitu kinawezekana maanake uhusiano wa serikali ya CCM na utawala wa sheria ni sawa ule wa paka na panya, hawawezi kukaa pamoja! Unashangaa 3b/= za Kabwe, mbona hukuzimia kabisa kwa 200b/= za Tanroad?Haiwezikeni mtu aibe mipesa yote hii deni hatma yake iwe tu kufukuzwa kazi. Vipi kuhusu hasara aliyoiletea Tz zaid ya 3bilns?
Inawezekana sikueleweka ingawa ni vigumu binafsi kuamini hivyo.Let me put it this way.MIGNON unachokitetea nadhani hukijui, yaani mwizi unambembeleza eti kwakufata utaratibu ili iweje, unamtetea WILSON KABWE maumivu aliyosababisha kwa watanzania kamwe hayavumiliki. Afu unatakiwa kuwa kiongozi imara, naamini kwa utetezi wako dhaifu huwezi kupata nafasi ktk serikali ya mhe.JPM. mm ni ukawa damu lkn kwa kazi anayoifanya mhe. napiga salute!
Hahahahahaaaamkuu unachokisema ni sawa,ila uovu wa huyo bwana uko dhahiri kabisa.Nakumbuka akiwa mwanza kafanya maovu mengi tu...pamoja na mengi aliyofanya, mimi ninachojua amejilimikisha maeneo mengi hasa ya kando kando ya ziwa kule luchelele mwanza na ako na beach kubwa tu pale luchelele, pia baadhi ya maeneo kampa km zawadi jk, na kapa katika uongozi wao, na ndio maana baada ya figisu nyingi alizofanya zilipozidi kama fadhila alihamishiwa dar, na anaendeleza ufisadi kama kawa,. Inshort ni chombo chao wanachokitumia kutekeleza upigaji dili, wapigaji dili wapo pembeni wametulia,....
.haaa condom bana....inashida sana....inatumiwa kwa moyo mmoja lakini mtumiaji akipata ukimwi, lawama zote kwa condom.......
Na Isitoshe huyu Wilson Kabwe hayo madudu aliyoyafanya mwanza upinzani ulipiga sn kelele bungeni kupitia mbunge wa llemela Hezekia wenje lkn utawala uliopo uliziba masikio ndio haya yanafumuka sasa.Ila mimi naweza nikasuport. Haiwezikeni mtu aibe mipesa yote hii den hatma yake iwe tu kufukuzwa kazi. Vipi kuhusu hasara aliyoiletea Tz zaid ya 3bilns? Serikal makini mtu kama huyu hapashi kuishia ap anafunguliwa mashitaka na kutaifishiwa mali zake. Soo ili swala laweza kuwa ni kweli maana sasa iv kuna mijitu inapenda misifa kweli.
Serikali ya CCM ilikuwa wapi kutoyaona na kuyajua haya hadi UKAWA wasike jiji ndio waweweseke!!! There is something behind the seen kweli kabisa mtoa mada.
Ndio kwani ccm si ipo zaidi ya miaka 50? Mbona haikufanya hivyo kabla ya ukawa kuingia?Kwa hiyo, ulitaka wamwache mpaka UKIWA ndio waje wamtumbue ndio ufurahi? Na bado, maana watanzania walio wengi hawawaelewi unajua.