Sio rahisi kupata chaguo lako kupitia watu wa JF, kwanza hatuwajui tabia zao Wala wanavyokupenda.
Chaguo lako unalijua hasa unapokuwa nae kwani hukupa faraja na kukufanya uchukie kuwa mpweke.
Ni nani Kati ya hao watatu sasa?
Rudi na jibu. Ukishatafakari!
Hapa wanataka kutuonesha wanafuatilia ufujaji wa Mali ya umma, tunataka kujua watachukua hatua gani ili kukomesha hivi vitendo, na hiyo ripoti hata iandikwe mara 20 haitokuwa sawa, wameshagundua matumizi mabaya na kubaini utendaji Usilolijua makini sasa wanategemea ripoti itakaa sawa kweli.?
Ludi
Kuludi
Ameshaludi
Wanauluma
Hiki Kiswahili Che!
Hii mada mbona walimu na wame za walimu wataipenda!
Ila mleta mada ulilenga na wale wa chuo au secondari kushuka vidudu?
Tofauti ni hizi EBSS inatafuta local musician while TPF inatafuta international musician Star!
Kuongezea Tanzania hatuna music class au dance hasa shule za public, na walimu expert wa class hizi ni wachache sana! hivyo tunajikuta tuna ishia Kuimba bongo flava na taarabu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.