Recent content by Labiance21

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Trump-Putin nchini Alaska kinafanana na kushindwa kwa taratibu kwa Ukraine

    Hiyo lugha inaitwa Kisengele nyuma
  2. L

    JamiiForums Tanzania Operesheni nyundo ya usiku

    Ndiyo wapi huko masjid alnoon?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Miche toka Morogoro

    Kasoro bahari itakuwa hiyo ya chini, kwenye kiloba kama sufuria.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Operesheni nyundo ya usiku

    Hayo ni mawazo yako
  5. L

    JamiiForums Tanzania Operesheni nyundo ya usiku

    Nani alisema?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Operesheni nyundo ya usiku

    Operesheni ya aibu kutokea kwenye jeshi la marekani,operesheni iliyokuwa na mbwembwe nyingi na gharama kubwa lakini mafanikio ni madogo.Operesheni ya kweli iliyofanywa na Marekani kwa mafanikio makubwa ni Operation Neptune spear kwenda kumuua Osama bin Laden.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS likiwasili nyumbani kwake

    Apumzike kwa amani Dkt Hassy Kitine
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwako unafahamika kwa jina gani?

    Vidudumtoni
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asema Magaidi wa Hamas wamegoma kusaini makubaliano ya kuacha mapigano na Israel hivyo aagiza viongozi wake kusakwa

    Viongozi wa Hamas wanatafutwa toka vita ilivyoanza,sasa huyu mzee sijuwi atawatafuta mara ngapi hao viongozi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

    Hakuna shida
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Sijawahi kusikia mbaazi kuuzwa buku nne kwa kilo
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kufuta Mpango wa Elimu Bure kwa wanafunzi. Yadai ni mzigo kwa Serikali

    Hilo Rungu juu ya meza ni la nini?
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Kina Junio hao
Back
Top Bottom