Recent content by La Voz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mkapa alimwandaa JK, Je JK anamwandaa nani kuwa commander in chief?

    you bet that borntown, holla!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila ashinda kesi ya kumkashifu rais Kikwete

    mkuu nina wasiwas tutakukosa kwa wiki moja, trust me.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila ashinda kesi ya kumkashifu rais Kikwete

    Nimeona itv baada ya kushinda kesi akataka kudakwa tena kwa kesi nyingine ila akagoma kisa askari anayetaka kum arrest ana cheo kidogo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

    ndicho kilchojaa akilini mwake...unajua ana wake wangapi, kweli mikoa ya pwani haifai kutoa viongozi wa kitaifa kwa sababu ya historical background yao
  5. L

    JamiiForums Tanzania Yu hai huyu mtu?

    thubutu kama kuna m2 atasogeza pua yake pale, ile zone u.s federal gvt property, sio jangwani pale
  6. L

    JamiiForums Tanzania Yu hai huyu mtu?

    Nitashangaa hii sred ipopigwa ban
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hakimu aburutwa kortini kwa rushwa

    kama haelewi m2 ni nini atwambie baba v ndo nini.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

    hata asikuchoshe bure, just low&cheap propaganda eti anatu blackmail, to hell u and ur poor vision
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

    wala hujaota, ila kitu kimoja umechanganya, sio daresalaam ni darful wanaonyesha cnn na aljazeera, so kama wew ni mtu wa kuogopa usipende sana kuangalia thrilling visual nite tym utakuwa unaota kila siku matokeo yake utaogopa hata kivuli chako. Mwisho: acha kupigia debe magamba
  10. L

    JamiiForums Tanzania Peruzi Jamii Forums BURE kupitia simu yako!

    Facebook ilianza hivhiv, lol wadau mui promote na rwanda ipate visitors wengi ili iwe online BBC ya africa..viva jf.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbavu zangu jamani, teh,teh,teh....

    So disgusting.!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    ngumu kumesa lol.! mdomo huu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Wafanyakazi nyie malofa msinibabaishe kwanza sivitaki hivyo vi kura vyenu laki saba-source (jk vs. Wafanyakazi 2010-freestlye battle )
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    wewe msomali mambo ya tanzania yakuhusu nini
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana JK bila sababu, Sasa Namchukia sana bila sababu!

    nakumbuka nlikuwa mita chache pale kirumba wakati wale wazee wanamsimika jk kuwa chief wao wa heshma jk alikwidwa miguuni naye akajitetea kwa kukaba shingoni, jamaa alichezea kichapo we acha tu, kuna tetesi kuwa keshavuta
Back
Top Bottom