Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
'
anapenda sana kugusia mambo aya kwenye hotuba zake....mbeya wakati anazindua mradi wa maji aliwaambia wananchi waongezee bidii ya kuzaana kwa sababu mradi huo ni mkubwa waliopo hawatoshi wanatakiwa waongezeke...
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'

haujui kuwa jk anashughulika zaidi na micro economy?
 
M/kiti wa CCM, Rais wa nchi amesema CCM haitakufa. Moja ya ishara ya uhai wa CCM, alitaja ni ‘wasomi' wanaogombea nafasi ndani ya CCM.

Shukrani hiyo inaonyesha wazi njaa ya wasomi ktk chama hiki tawala.

Nasubiri kuwaona hao wasomi ambao wanajiunga na CCM ni wa aina gani. Hisia zangu ni waalimu wa vyuo vikuu wanaokaribia kustaafu na wale wanaovizia kugombea ubunge mwaka 2015. Hawa hugombea ili wabahatishe uwaziri. CCM inawasahau vijana wanaomaliza vyuoni kwamba hao ndo wasomi muhimu ktk box la kura na ndiyo walio wengi.

Kwa mwenendo wa maoni tuyaonayo haionyeshi kama katiba yetu mpya itaruhusu mbunge kuwa waziri.

Namuomba Rais huyu pamoja na chama chake, wafurahie kuwaona wasomi wanaojiunga na CDM, CUF, TLP, n.k. Tatizo lao CCM wakiona hao wanaoitwa ‘wasomi' wakijiunga na vyama vingine, huwageukia na kuanza kuwanyanyasa ktk ajira.

Una fununu za CHADEMA kuunda baraza la mawaziri la umoja wa kitaifa nini?
 
Dah huyu ndiye raisi bhana ila kwa haya nina maswali kadhaa
1. kumbe chama kikiwa na wasomi hakiwezi kufa
2. Kwa hiyo kumbe CCM mwanzo haikuwa na wasomi ndo maana kilitaka kufa
3. Kumbe wasomi pekee ndio wenye kuingoza CCM

Poor thing Prisidaa
Viti maalumu CHADEMA 2010 sifa kubwa nambari moja: Masters degree(alama 10), Degree ya kwanza (alama 8), Kukisaidia chama (alama 5) Kugombea jimboni (alama 5).MANYANI HAYAONI MAKALIO YAO.
 
I am surprised with JK statement as you have posted above since there is a very wise saying which says that Mosses could not control his people despite removing them from captivity....

I or you or anybody for that matter cannot really control people actions it is actually better for you to detach from issues like these since people are like that and it is not in your control so why stress yourself...It is just matter of time and people's power.

Mkuu, umeandika kiingereza kigumu!!! Tafadhali, tafsiri kutoka kiingereza fasaha kwenda katika kiswahili fasaha pia ili nasi akina Kayumba tupate kuelewa. Samahani kama nitakukera.
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'

cjui aliupata wap udokta wake. Hyo c 7bu.
 
yupo katika diminishing marginal returns ya uwezo wake wa kufikiri.
 
Ameenda mbali zaidi na kudai CCM haiwezi kufa wakati imejaa wasomi! hundred and one questions:
  1. Kanu ilipokufa ilikuwa haina wasomi?
  2. Haya yote yanayotokea CCM hakuna wasomi
Mwenyekiti Go back to drawing Board....:A S 39:

rais na akili za 'tikisa kabla ya kutumia'
 
Yaani maswali ni mengi mno, kwa mfano: kwani yeye amewaona wasomi tu ndani ya chama chake na hajaona wezi, kama chama kimebeba wezi kwa nini kisife? wakati wananchi wamelielewa hilo
 
M/kiti wa CCM, Rais wa nchi amesema CCM haitakufa. Moja ya ishara ya uhai wa CCM, alitaja ni ‘wasomi’ wanaogombea nafasi ndani ya CCM.

Shukrani hiyo inaonyesha wazi njaa ya wasomi ktk chama hiki tawala.

Nasubiri kuwaona hao wasomi ambao wanajiunga na CCM ni wa aina gani. Hisia zangu ni waalimu wa vyuo vikuu wanaokaribia kustaafu na wale wanaovizia kugombea ubunge mwaka 2015. Hawa hugombea ili wabahatishe uwaziri. CCM inawasahau vijana wanaomaliza vyuoni kwamba hao ndo wasomi muhimu ktk box la kura na ndiyo walio wengi.

Kwa mwenendo wa maoni tuyaonayo haionyeshi kama katiba yetu mpya itaruhusu mbunge kuwa waziri.

Namuomba Rais huyu pamoja na chama chake, wafurahie kuwaona wasomi wanaojiunga na CDM, CUF, TLP, n.k. Tatizo lao CCM wakiona hao wanaoitwa ‘wasomi’ wakijiunga na vyama vingine, huwageukia na kuanza kuwanyanyasa ktk ajira.

JK ni wise sana na wengi wenu msipo tafakari kauli zake kwa kina huishia kukurupuka km mleta thread hii. Kwa maneno aliyoyasema JK ni dongo kubwa sana kwa CDM na hapa alikuwa anasema Mbowe si msomi, lema si msomi nk. Na hakuna shaka cdm ina wasomi wakuhesabu. Hawawezi kuwa sawa wasomi na wasio wasomi, kwa dunia ya sasa km si msomi umejimaliza mwenyewe
 
Siasa kama mfumo wa maisha ya binadamu wasomi ni muhimu kushirikishwa katika mipango na maamuzi mbalimbali,asiyetambua mchango wa wasomi ana hitilafu kwenye ubongo wake.CDM wana allergies na wasomi kwa kuwa muhimili wa chama umejengwa na umimi na ukanda.Demokrasia itakuwa ndoto kwa CDM kwa kwa kuamini mawazo ya Mbowe,Dr Slaa na Mzee Mtei ndio dira ya chama,kiongozi yeyote asiesoma ni dikteta kwa kuwa kuamini kila kitu anafahamu .Kutosoma ni umaskini usiokuwa na kifani katika maisha ya binadamu si jambo la kujivunia hata kidogo.Tuwape nafasi wasomi tujifunze mengi kwa faida ya wengi.JK yupo sahihi kwa 100% tubadilike.
 
JK ni wise sana na wengi wenu msipo tafakari kauli zake kwa kina huishia kukurupuka km mleta thread hii. Kwa maneno aliyoyasema JK ni dongo kubwa sana kwa CDM na hapa alikuwa anasema Mbowe si msomi, lema si msomi nk. Na hakuna shaka cdm ina wasomi wakuhesabu. Hawawezi kuwa sawa wasomi na wasio wasomi, kwa dunia ya sasa km si msomi umejimaliza mwenyewe

Huyu ni m/Kiti, Huyu ni Rais. Hatutegemei awe muimba Taarabu na mashairi eti kupigana vijembe. Tunachoju ni kwmba Alipoona wasomi, kaona fahari. La kujiuliza anaowaita ni 'wasomi' ni wasomi kweli?

Kama wewe unamuona ni wise basi napata wasiwasi juu ya ubora wako. Wewe si ni GeniusBrain (Just call yourself, Genius!) Ukishasema hivyo, binafsi natia mashaka juu ya uwezo wako maana hiyo wisdom nadhani tuseme inategemea mtu anayetoa assessment hiyo.

Ninachoamini kwa sasa ni kwamba tuna mkuu ambaye uwezo wake ni mdogo. Angalia mifano yake ktk hotuba za kitaifa ambayo watu wanaitaja hapa, Ngono!

Unamuona Mbowe hakusoma? Hebu mulinganishe na JK wetu! Hebu sema juu ya ubora wa Slaa vs Mkama. Linganisha Myika vs Nape
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'

ndicho kilchojaa akilini mwake...unajua ana wake wangapi, kweli mikoa ya pwani haifai kutoa viongozi wa kitaifa kwa sababu ya historical background yao
 
Ulisahau kwamba rais wetu ni ******? Priority kwake ni ndoa ila inashangaza kujali ndoa bila kufikili ustawi wa jamii. Ndio yale yale ya kila mtoto anakuja na ridhiki yaje, shame on ******
 
JK ni wise sana na wengi wenu msipo tafakari kauli zake kwa kina huishia kukurupuka km mleta thread hii. Kwa maneno aliyoyasema JK ni dongo kubwa sana kwa CDM na hapa alikuwa anasema Mbowe si msomi, lema si msomi nk. Na hakuna shaka cdm ina wasomi wakuhesabu. Hawawezi kuwa sawa wasomi na wasio wasomi, kwa dunia ya sasa km si msomi umejimaliza mwenyewe

Kama zaidi ya miaka 50 ya uhuru bado tunajadili sukari na bado mnajivunia ccm kuna wasomi haina maana ya kwenda shule
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'
Binadamu huyasema yaliyomjaa moyoni.Mlipanda mchongoma mnataka mvune ulezi?
 
ndicho kilchojaa akilini mwake...unajua ana wake wangapi, kweli mikoa ya pwani haifai kutoa viongozi wa kitaifa kwa sababu ya historical background yao

Thats why jk original alishtukia issue 2005
 
Viti maalumu CHADEMA 2010 sifa kubwa nambari moja: Masters degree(alama 10), Degree ya kwanza (alama 8), Kukisaidia chama (alama 5) Kugombea jimboni (alama 5).MANYANI HAYAONI MAKALIO YAO.
Lile lilikuwa changa la macho kuwatisha baadhi ya wagombea mwisho wa siku wenye certificate za hotel management wakapewa ubunge.Post yeyote CDM inasimamiwa na vigezo vikuu viwili 1. ukanda na 2.unanaswaba ipi na wenye chama.Asilimia 89.99% ya wabunge viti maalum CDM ni STD 7.
 
Hivi kinachomaliza CCM ni elimu ya wananchama wake? Na hao wasomi wanaojiunga na chama wana elimu kushinda Chenge, Nimrod Mkono au Prof Maghembe?
 
Back
Top Bottom