Saaafi kaka nafikiri wanadhani kila anaye hoji matokeo ya 4m 2 ni 4m 2 haiingii akilini mtu mzma kushindwa kufikiria >>>>>>mawazo mafupi kama umeme wa luku>>>>!!!
Afu sasa wanajifanya kama hawaelewi nini machozi ya watanzania yanatokana na nini dah kweli hii nchi hatari!!! Sana na nafikiri jibu sahhi ni kukaa siku kuchinjana wenyewe kwa wenyewe ndo heshima itakuja!!!!!
Dah! Inasikitisha sana ila serikali inachangia hili sababu hata hao wanaopewa mamlaka ya kulinda hifadhi za wanyama ndo wa kwanza kufanya ujangili>>>>>>> yaan nomaaa sanaa!!!!
Afu bado wamepandisha gharama aisee yaan tanesco ni pumbaf sana na tatizo hlo siyo huko tu mkuu hata huku da es salaam maeneo ya kigamboni ndo kilio chetu!
Hahahh! Wana hofu tena wakiyatoa raia wataponda kwamba watoto wa wamefeli hahhahah! Ila sisi raia tupo kwa kazi hyo bana kwa ni mwendo wa kunyooshana tu ukiboronga na matokeo yenu kama yatakuwa mabovu! Sis ni kuponda tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.