Recent content by KZJ

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya serikari!

    Ndugu wana jamii napenda kujua mshahara wa TGS C ni shilingi ngapi? asanteni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    Si wabaguzi,ni kwamba wanavigezo vinavyo itajika angalia cpa zote bongo wachaga ni asilimia ngapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Tudai hiyo mikataba ili tujue kinachoendelea si ni haki yetu,ongera mtoa mada
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta notes za statistics zenye topic zote mpaka regrration na kuendelea

    Mwenye soft copy naomba
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mali ya Julias Malema kupigwa mnada Afrika Kusini

    HABARI WANA JAMII,Julias Malema aliye kuwa kiongozi wa vijana wa chama tawala South Africa mali zake nyingi pamoja na jumba la kifahari vina pigwa mnada kwa sababu ya yeye kushindwa kulipa kodi (alikwepa kodi). Je kuna uwezekano wa kutofautisha pesa na siasa! wanasiasa wengi ni matajili na wana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Maoni yangu si-ya kisiasa:mbuzi hawezi kuwa ngombe, Mnyika ni kichwa tu kwani uwezo wake ndio una onyesha jamaa ni bright sn achana na mambo ya kisiasa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Ni kweli mimi alikuwa room mate wangu,baada ya kumaliza form 4 alipotea kabisa na akaja kuibuka katika siasa na kitu kingine ambacho ni suprise Nape hakuwa na hobby ya uongozi ndio maana labda alikuwa akiitwa mlokole,alikuwa mpole na asiye kuwa na dalili zozote za kutaka kuwa kiongozi kama pia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Majibu mazuri.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

    feki politiki
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    Ndugu, wanatumia gharama zao wenyewe,kwani wengi wao wame omba kuhama na si-kwamba serikali imewahamisha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    Ndugu, wanatumia gharama zao wenyewe,kwani wengi wao wame omba kuhama na si-kwamba serikali imewahamisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    asante sana mkuu,ubarikiwe!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Kilicho wa tofautisha ni: information technology and globalization for one side and the other side ni communism. THINK!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

    Nimepata habari hayo majina yamebandikwa notes board za tamisemi dodoma kama kuna wadau uko wafanye mpango ili yame kwenye mtandao.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

    ndugu ata mimi natafuta hayo majina ya nimechek web yao lakini wali ya post tarehe na sasa wamesha ya toa,aliye weza kuya download atu juze! asanteni
Back
Top Bottom