Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

- Kazi yenu kuharibu majina ya watu kwa sababu ya wivu na hasira za maisha, hapa mjini Wanasheria wote wanakula kuku, mimi nina mshikaji wangu ni Mwanasheria wa IPP kijana mdogo sana I mean yupo vizuri sana na baba yake sio Rais, mnasema maneno mengi yasiyo na hata commonsense, kwamba Ridhiwani amempa Davis mali zake, leo Ridhiwani anaendesha gari la Shillingi Millioni 10 na huku Davis anaendesha Lambogirn ya Shillingi Billioni Moja na Nusu, sasa mwenye mali Ridhiwani anamuangalia tu akichoma mali zake na kwamba kuna siku Davis atamrudishia Ridhiwani mali zake,

- I mean a great Thinker unaweza kutoa theory za kusadikika kama hizi mbele ya Great Thinkers wengine na unakubaliwa kwamba unaongea hoja, inasikitisha sana!!

le mutuz

Mkuu ,
Naona baada ya kukosa kibarua kwenye ngaz izote za CCM umeamua kujisubmit kwa Riz 1! Kwani kule Marekan wamekufukuza, au umri hauruhusu tena kupiga Box?
 
Wakuu nisaidie kitu, ivi wachangiaji wanaposema huyu kaka ana miaka 54, huwa ni utaniiii au ndivyo ilivyo?

Huyo ndiye King of all social network media in bongo.baharia aliyeishi miaka mingi ughaibuni.Umri kwake siyo kigezo cha kujibu hoja na kufanya viroja.Huyo ndiye Le Mutuz,muzee ya deep sea.
 
Wakuu nisaidie kitu, ivi wachangiaji wanaposema huyu kaka ana miaka 54, huwa ni utaniiii au ndivyo ilivyo?

mwenyewe alishawahi andika jf kuwa miaka ya themanini mwanzoni alianza kaz ya ubaharia.
Kwa kuzingatia muda ambao ameanza kazi mpaka leo kama hayuko kwenye 50 exactly basi anakaribia sana ila hoja zake as if yupo under 18.
Hapa kuna swali ameulizwa huyo ridhwani anaubora gani awe mwanasheria tajiri gafla hivo wakati kuna wengne tupo nao mtaani maisha yao ya kawaida tu?
 
Wakuu nisaidie kitu, ivi wachangiaji wanaposema huyu kaka ana miaka 54, huwa ni utaniiii au ndivyo ilivyo?

- HA! HA! HA! A! HA! UNAJUA INACHEKESHA SANA, mlipoanza na Ridiwani nilidani kuna hoja sasa tizama milipofikia kuulizia umri wa wasiokuwa na mawazo mburula kama yenu, majungu majungu, fitina na wivu hamna lingine kwa haya maneno ni kwamba hata maendeleo hamna! ha! ha! sasa mnaanza kujadili kwa nini flani kala nyama Great Thinkers wazima aibuu!

le mutuz
 
mwenyewe alishawahi andika jf kuwa miaka ya themanini mwanzoni alianza kaz ya ubaharia.
Kwa kuzingatia muda ambao ameanza kazi mpaka leo kama hayuko kwenye 50 exactly basi anakaribia sana ila hoja zake as if yupo under 18.
Hapa kuna swali ameulizwa huyo ridhwani anaubora gani awe mwanasheria tajiri gafla hivo wakati kuna wengne tupo nao mtaani maisha yao ya kawaida tu?

- Umeulizwa utaje uo utajiri wake mkuu!

le mutuz
 
Kilicho wa tofautisha ni: information technology and globalization for one side and the other side ni communism. THINK!
 
- HA! ha! ha! ha! ha! nikiwa na mawazo tofauti na yako ninajikomba, ndio manafukuzana sana huko maana yoyote asiye na mawazo kama yenu hafai na anajikomba, sawa sawa umesikika!! ha! ha!

le mutuz

Le mutuz akitokezea, lazima nifuatilie comments zake. Namuonea huruma
 
Wakuu nisaidie kitu, ivi wachangiaji wanaposema huyu kaka ana miaka 54, huwa ni utaniiii au ndivyo ilivyo?

kama kweli hiyo ndo miaka yake mkuu basi kuna tatizo kubwa hapa,tabia za kijana,mtu wa makamo na mzee zinajulikana lakini kila nikiangalia comments za mhusika zinanipa picha ya kijana tena aliyeko kwenye "foolish age" masihara mengi hata kwenye masuala yanayohitaji kujenga hoja!
 
Back
Top Bottom