Recent content by Kyvo

  1. K

    Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    baada ya kujua anamambo yake pembeni huko nilimweleza akabisha, badae akajakubali akaomba msamaha hatarudia, aliendelea nikatafuta evidence zangu alafu siku 4 kabla sijamchana live aliishi kwa raha sana, nilijitahidi kumfurahisha kupita maelezo, siku ya nne 15 mins tu hajaniona utasikia uko...
  2. K

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    CCM mnahangaika!
  3. K

    Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

    we jamaa ulikua anapenda, unakumbuka vimsemo vyote hivyo, mi nakumbuka kuna kitu ilikua inaitwa Ngeli tu basi
  4. K

    Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    100% nampa huyo jamaa, ni kweli mkorofi ana jazba lakini hii nchi ilivyooza kwa sasa atatufaa sana hata 5 yrs tu ndio apewe huyo asiye na jazba
  5. K

    Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

    mnashupalia mdogo wakati watu kibao mmezitoa mkiwa na miaka 12, 13
  6. K

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Arusha maeneo ya makao mapya wameuchukua muda tu
  7. K

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Sina uhakika kama huyu mama anaweza kutofautisha ugali na keki
  8. K

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Ronaldo yupo vizuri tena sana ila alizaliwa ni kipindi kibaya, Messi ni shidaaa...
  9. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    kibiriti upele vijiko 2 na hiyo pilipili vijiko 2 au vyote kwa pamoja vijiko2 ?
  10. K

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    wanaliwa tigo na wanaojitambua! hivi kumbe wanaojitambua ndio wanatabia hiyo.
  11. K

    Kale kaharufu una kaondoaje?

    Hi hii...! Unagegeda umetega pua dirishani, we jamaa unahatari!
  12. K

    Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

    Hakuna mtu namwonea wivu kama bwanake Magret Cosmas, lolololo....
  13. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    -hakuna bikira kwenye wodi ya wazazi -kunenepa wakati nakudai ni ishara ya dharau - jicheki usijeshindwa kutofautisha keki na ugali
Back
Top Bottom